Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.


Tunashukuru kwa taarifa. Ila tunza heshima anayokupa. Sababu hao watu wamesomea kuua watu tuu na si kingine
 
Ninachowakubali hawa jamaa wa mabakamabaia huwa hawaangalii sura, umbo, tabia, wala afya! wanachojali huwa ni tundu tu baaasi! Wajeda huwa wanaokoteza hakuna kama wao!
 
Mtaachana tuuu
Hata sie tulikuwa kama wewe
Nasema mtaachana tuuu
Ni swala la muda
 
Subiri risasi zije zikule na wewe jeutasimuliaa?
 
Unatembea na "wake za watu?" na upo na furaha? Hauoni kwamba unajifanyia vibaya? Hauoni wewe ni wa thamani na unastahili zaidi ya unavyojipa?
 
Jiandae nawe kuliwa very soon,usiache kutembea na KY kila uendapo.
 
Mleta mada mpe kila kitu huyo mjeda wako atumie kwa raha zenu.!
 
Mapenzi matamu sana ukiyapatia.

Enjoy kwakweli.
 
Uzuri wa wajeda bhana akiwa anakugonga unahisi kubembea juu ya yale mangao na manyota yao kuna ka hali flani hivi kakujifariji kanatokea.

Enjoy sweetheart[emoji3577]
Acha kabisa, sijui wanafunzwa[emoji2297]
 
Sidhani kama hili ni jambo la kujisifia. Change your attitude this is not the traits of real men.
 
Penzi jipya huwa tamu kushinda mirinda nyeusi.
I get the point mpewa mahaba ajipe muda kidogo kabla ya kufanya conclusion. Likitokea lingine tunaweza mpoteza coz naona ameingia mzima mzima hadi na mikoba na mawigi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…