Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Raha Sana yani
Yaani raha sana, ukiachana tu mapenzi kuna hali fulani ya kujiona uko salama yaani kama huyu wangu kitengo alichopo na cheo chake najikuta najiona namna fulani hivi.

Mkiwa barabara trafic akipiga mkono anashusha kioo tu mara mnaambiwa pita basi najikuta na mimi afande vile.
 
Utulie na mke wako sasa mkuu.Achana na michepuko 😁
 
Waambie wenzako!!

Maana hatuaminiki kabisa washika bunduki!!!!

N.B
Tatizo mnatupenda mkiona BAKA(Ulimbo)..tumelivaa...Wengine tukilivua tunaonekana kama sabaya tu:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitashangaa kusikia anakaribia kustaafu maana nyie watu mmekuwa na mikakati mikali sana
 
Jiandae kuhojiwa wanawake live pale penzi litakapo geuka palestine
 
😂😂Ndio ndio unakuwa unajiamini popote, si rahisi kumfanya mjeda a fall in love kwahiyo ukiwa nae kimahusiano na wewe automatically unajiona umekuwa mjeda, ni kujifariji tu lakini sio mbaya maana maisha mazuri yanataka kujifariji😅,

msalimie sana shemela
 
Sio kila mjeda yupo hivi ambatanisha na kabila lake mfano MSUKUMA au kanda ya ziwa ni wazuri kwenye kuhandle mapenzi
 
It's obvious you need to thank the money as well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…