Natakakutulia
Member
- Jan 20, 2020
- 59
- 390
- Thread starter
-
- #81
Simkosei anipige kisa nini? Kwanza yeye akitaka kuniua wala ahangaiki na bastola ngumi yake moja tu nishakufa maana ni komando sio mjeda wa kawaida.hawachelewi kukupiga bastola HAO kuwa Makini
[emoji1787]una maanisha vyote ni vya kawaida anachokiona kizuri ni anagongwa na mjedaUzuri wa wajeda bhana akiwa anakugonga unahisi kubembea juu ya yale mangao na manyota yao kuna ka hali flani hivi kakujifariji kanatokea.
Enjoy sweetheart[emoji3577]
Ndio ndio na hasa awe na cheo cha heshima[emoji1787]una maanisha vyote ni vya kawaida anachokiona kizuri ni anagongwa na mjeda
Ana story mpya kabisa ya kusimliaLeo vipi?!!
Mpende mheshimu na mtunze atazidi kukupenda, ila usisikilize maneno ya watu, watakuharabia sana .Habari wanajamvi,
Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.
Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.
Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.
Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.
Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.
Nalog off
Alafu jiulize upande wa pili wa sentensi yako, sisi tukija huko uraiani yanafanyika mengi sema safi tu.Nimekula wake saba wa wajeda.
Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda
Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona
Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa
Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka
Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mpepo
Hiyo story nzuri,mbaya??..Ana story mpya kabisa ya kusimlia
Simkosei anipige kisa nini? Kwanza yeye akitaka kuniua wala ahangaiki na bastola ngumi yake moja tu nishakufa maana ni komando sio mjeda wa kawaida.
Jitulize.Habari wanajamvi,
Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.
Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.
Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.
Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.
Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.
Nalog off
Ewaaaa hapo baby hafanyi utani ananipeleka mpaka naomba poo,
Changanya na mazoezi yake nabinuliwa kama mtoto uuu ananipa mpaka nahisi nipo peponi.
Ukomando wake hadi kitandani