Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Je, ulihudhuria msiba wa Baba mtoto na uliuona mwili wa Marehemu?

Au huyo mwanamke amekuonyesha kaburi la jamaa?

kisha Ukalifukua ukachukua sample ya mwili ukapima DNA yake na ya Mtoto ili kuhakikisha kwamba baba wa mtoto hapumui?
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒNimecheka sana aiseeeee..

Nyie watu jau kinoma daaah.
Inamaana unataka kusema ni lazima kwanza mumewe awe amekufa ndo niwe nae..

Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

Kingine pia huyo mdada hajafanya mambo ya ajabu toka kipindi hiko
 
Kalaga Bao πŸ˜ŽπŸ•›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…