Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

....Kwamba unachukua mtu mwenye ujuzi wa kutosha miaka 7 kutoka kwa mumewe, upo vizuri.
 
Nimesoma comment nyingi ila hii mkuu.
Niseme tuu we jamaa ni genius..
Angalia uwenda ukawa una kipaji mkuu asante😁😁😁😁
Ata saa mbovu kuna wakati inasoma muda sahihi 🀣🀣🀣
Ukimchoka single mama basi nipigie pande na mie nile mbususu
 
Onyo gani sasa kakupa? Hebu tiririka
 

Kama anakulisha haina noma
 
Hapo fanya unajishikiza tu mkuu, hao watu ni changamoto sana alafu huyo wako anaonekana king'ang'anizi sana jamii ya Mbowe.
 
Mkuu,
piga kazi..kazi kazi πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…