Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wakuu salama salama..
Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.
Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..
Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...
Vishu Mtata