Hii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
SIo baadhi ya member wa jf,,sema ni hawa mashabiki wa nyuma mwiko hawajui hata kwamba nusu fainali hainaga draw bali ni mshindi kati ya huku anacheza na wa hukuView attachment 2956161
Draw ilipangwa kitambo huko tarehe 12 march jumanne saa kumi
Msindi kati Esperance de tunis na Asec mimosa atacheza na mshindi kati ya Yanga na Mamelody.
Na mshindi kati ya simba na Alhly alipangwa acheze na mshindi kati ya Tp mazembe na Petro Atletico.
Hata hili hamjui
BAADHI YA MEMBERS WA JF WANASIKITISHA SANA SIKU HIZI
tumeumia sote but tunyamaza na sasa tuendelee kujenga timu,huo mkasa umeipandisha yanga juu sana,kila mpenda michezo duniani anataka kuijua hiyo yanga ni ya wapiView attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Malalamiko yetu kwani hayajafika?View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Sio kweli.kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Sio kweli hakukuwa na draw tena.View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Eng huyo huyo alisema watarudi wakiwa wamevuka nusu fainali. Ndimi mbili.Hii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...
Ukiunganisha dots unaona kama kuna something fishy
Nakumbuka aliyesema bingwa wa msimu huu ni mamelod au ala ahly ni Hersi, huyu atakuwa anajua namna walivyopangakwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Draw imefanyika tangu tarehe 12/03 kabla hata timu zilizofuzu nusu fainali kufahamikakwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Umeandika ukiwa na akili timamu?kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Na wewe ni mpumbavu usiye elewa? Ebu soma huu mchoro wa Draw ya CAFHii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...