Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

Ndo inavyokuwa pale unapozuia dk zote ili ufike penati halafu ukifika unapaisha.
 
kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Hii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...
Ukiunganisha dots unaona kama kuna something fishy
 
Penati ya nne ya asec mliiona jana lakini ilivo clear
 
View attachment 2956161

Draw ilipangwa kitambo huko tarehe 12 march jumanne saa kumi

Msindi kati Esperance de tunis na Asec mimosa atacheza na mshindi kati ya Yanga na Mamelody.

Na mshindi kati ya simba na Alhly alipangwa acheze na mshindi kati ya Tp mazembe na Petro Atletico.

Hata hili hamjui
BAADHI YA MEMBERS WA JF WANASIKITISHA SANA SIKU HIZI
SIo baadhi ya member wa jf,,sema ni hawa mashabiki wa nyuma mwiko hawajui hata kwamba nusu fainali hainaga draw bali ni mshindi kati ya huku anacheza na wa huku
 
View attachment 2956107

Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.

Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.

Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.

Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
tumeumia sote but tunyamaza na sasa tuendelee kujenga timu,huo mkasa umeipandisha yanga juu sana,kila mpenda michezo duniani anataka kuijua hiyo yanga ni ya wapi
 
View attachment 2956107

Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.

Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.

Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.

Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Malalamiko yetu kwani hayajafika?
 
IMG_9994.jpeg
 
kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Sio kweli.
Kuanzia Robo, na mshindi wa match ipi atakutana na mshindi wa match ipi za robo ili kucheza nusu zilishapngwa tangu draw za robo fainali siku ile.
 
View attachment 2956107

Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.

Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.

Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.

Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Sio kweli hakukuwa na draw tena.
Kuanzia Robo, na mshindi wa match ipi atakutana na mshindi wa match ipi za robo ili kucheza nusu zilishapngwa tangu draw za robo fainali siku ile.
 
Hii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...
Ukiunganisha dots unaona kama kuna something fishy
Eng huyo huyo alisema watarudi wakiwa wamevuka nusu fainali. Ndimi mbili.
 
Bingwa ni Mamelodi sundowns au Al Ahly.
Malalamiko ya kipuuzi hayasaidii lolote, lile halikuwa goli ni ushamba wa kushadadia vitu vidivyo na maana.

VAR iliwabeba Yanga katika tukio la Lomalisa dhidi ya Khuliso Mudau, mwanyeto dhidi ya Nyoso Lortch ilikuwa penati VAR haikutoa maamuzi yoyote.
Mnalalama kwa lipi?
 
Bingwa ni Mazembe na first leg itapigwa taifa kiingilio 2000 na uwanja utatapika thanks to Mose Katumbi
 
Hii kitu pia niliifikiria Sana baada ya Yanga kutolewa pia nikakumbuka kauli ya Engineer Hersi kua fainali anaona NI Kati ya Ahly na Sundown...
Ukiunganisha dots unaona kama kuna something fishy
Na wewe ni mpumbavu usiye elewa? Ebu soma huu mchoro wa Draw ya CAF
IMG_9625.jpeg
 
Back
Top Bottom