joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Halafu siku hizi yale mabango ya kuwasema wanao discuss mpira ni wajinga mbona hupost au na WEWE NI MJINGA.UWE UNAFICHA UJINGA WAKO HAKUNA HATA SIKU MOJA DROO YA NUSU FAINALI.
Nyie kweli hamna akili kwani Droo imepangwa Jana au juzi.
Mbona Mashabiki wa Yanga Hatuna akili kiasi hiki hadi inasikitisha. Na tunajidhalilisha.
Draw ilipangwa Siku ya Jumanne Tarehe 12 March 2024.
Wewe unakuja Kushangaa leo.
Pumbvu kabisa
View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Yanga ni sawa na mtoto wa kambo malalamiko kibao. Lile sio goli acheni kujificha kwenye kichaka kuepuka aibu ya kuondolewa.View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Kabisa lo
Kwani ndio alifanya Yanga wakose penati?.....Kwani hujui Rais wa CAF ni nani kwa sasa!?😎
Wewe siulisema hutaki kushabikia yanga na simba
Hapa jukwaa la sports unafanya nini?
Mbona mashabiki wa simba mnaikana team yenu ikiwa kwenye magumu
Saiv Goli la yanga kudhulumia limekutoa pangoni na kuonesha rangi yako kuwa wewe ni mbumbumbu
Uto wazee wa mabasiYanga ni sawa na mtoto wa kambo malalamiko kibao. Lile sio goli acheni kujificha kwenye kichaka kuepuka aibu ya kuondolewa.
Mngekuwa na uwezo wa kwenda nusu fainali basi mngeshinda Dar sio kusubiri kichaka.
Timu gani imeenda nusu fainali kamiongoni mwa hizo nne ambayo ili possess mpira kwa 23%?
Mbona hata eng Hersi alisema fainali itakuwa kati ya Mamelodi na Al Ahly?kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwa nini haikushinda iende hiyo fainali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo inavyokuwa pale unapozuia dk zote ili ufike penati halafu ukifika unapaisha.
Sio kubanwa na yanga mpira wao wachezaji wamekaa nyuma tu tungetaka kuona ubara wa yanga wakuwa wanacheza wachezaji wanapandaBado Mimi nampa nafasi Mamelodi sundown kubanwa na Yanga haipunguzi ubora wake Bali alikutana na timu ambayo ilikua na sprit kubwa pia Yanga wanacheza style moja na sundown hivo wanajua jinsi ya kuizuia...
Ndoto nzuri sanaView attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Huna fikaraView attachment 2956107