Nimezidi kuumia baada ya kuona Mamelodi amepangwa na Esperance nusu fainali. Yanga ilikuwa inaenda fainali, hata kushinda kombe

Hili kombe linaweza likawa la Al Ahly maana nikicheki mpira aliyocheza Mamelod na Yanga tena key player watatu wapo nje, ndio acheze na Al Ahly sizani kama wataleta ujinga kwenye nafasi watakazo zipata.
 
UWE UNAFICHA UJINGA WAKO HAKUNA HATA SIKU MOJA DROO YA NUSU FAINALI.

Nyie kweli hamna akili kwani Droo imepangwa Jana au juzi.

Mbona Mashabiki wa Yanga Hatuna akili kiasi hiki hadi inasikitisha. Na tunajidhalilisha.

Draw ilipangwa Siku ya Jumanne Tarehe 12 March 2024.
Wewe unakuja Kushangaa leo.

Pumbvu kabisa
Halafu siku hizi yale mabango ya kuwasema wanao discuss mpira ni wajinga mbona hupost au na WEWE NI MJINGA.

Halafu lini ww ulikuwa mshabiki wa Yanga au ushajitoa Kolo FC.
 
Wewe siulisema hutaki kushabikia yanga na simba
Hapa jukwaa la sports unafanya nini?

Mbona mashabiki wa simba mnaikana team yenu ikiwa kwenye magumu

Saiv Goli la yanga kudhulumia limekutoa pangoni na kuonesha rangi yako kuwa wewe ni mbumbumbu
 
View attachment 2956107

Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.

Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.

Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.

Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.

Muende fainali kwa kipa yupi sasa?
 
Yanga ni sawa na mtoto wa kambo malalamiko kibao. Lile sio goli acheni kujificha kwenye kichaka kuepuka aibu ya kuondolewa.

Mngekuwa na uwezo wa kwenda nusu fainali basi mngeshinda Dar sio kusubiri kichaka.

Timu gani imeenda nusu fainali kamiongoni mwa hizo nne ambayo ili possess mpira kwa 23%?
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Wewe siulisema hutaki kushabikia yanga na simba
Hapa jukwaa la sports unafanya nini?

Mbona mashabiki wa simba mnaikana team yenu ikiwa kwenye magumu

Saiv Goli la yanga kudhulumia limekutoa pangoni na kuonesha rangi yako kuwa wewe ni mbumbumbu

Uwe unasoma na kuelewa.

Ninasisitiza ukishabikia sanaaaaaaa
Kuna watu wanaoshabikia sana kiasi cha kuweka hadi wake bondi, kulia kabisa baada ya kufungwa, makelele mitaani kama vichaa nk.

Ushauri ni kuwa ushabiki wa kijinga na kitoto utawagharimu watanzania wengi.
 
Yanga ni sawa na mtoto wa kambo malalamiko kibao. Lile sio goli acheni kujificha kwenye kichaka kuepuka aibu ya kuondolewa.

Mngekuwa na uwezo wa kwenda nusu fainali basi mngeshinda Dar sio kusubiri kichaka.

Timu gani imeenda nusu fainali kamiongoni mwa hizo nne ambayo ili possess mpira kwa 23%?
Uto wazee wa mabasi
 
kwanini hawajaeka mameloids wacheze na Al ahly?
Utagundua wameshapanga kablaaa fainal iwe Mameloids vs Al ahly....
Mbona hata eng Hersi alisema fainali itakuwa kati ya Mamelodi na Al Ahly?
Hiyo ilikuwa kabla hata ya draw ya robo fainali
 
Bado Mimi nampa nafasi Mamelodi sundown kubanwa na Yanga haipunguzi ubora wake Bali alikutana na timu ambayo ilikua na sprit kubwa pia Yanga wanacheza style moja na sundown hivo wanajua jinsi ya kuizuia...
Sio kubanwa na yanga mpira wao wachezaji wamekaa nyuma tu tungetaka kuona ubara wa yanga wakuwa wanacheza wachezaji wanapanda
 
View attachment 2956107

Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.

Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.

Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.

Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Ndoto nzuri sana
 
Huna fikara
 
Back
Top Bottom