Nimezodolewa na manesi

pole sana Bujibuji,
lakini dah ngoja niitulize sana akili yangu then nitarudi kwa msaada wa hekima ya Mungu
 
Wewe umekuja hapa JF kumdhalilisha mkeo tu, hakuna jingine. Kwanini usiyamalize wewe na mkeo, uko uko nyumbani kwenu, au kwanini usiwaite wazee wake na wako mkayaongea? Kuyaleta hapa adharani ndio iweje mkuu?

na ni moja ya sheria za JF kutodhalilishana
 
Sasa ndugu yangu wengine station hii redio haishiki kabisa ...............utafanyaje........... mi naona mauzauza tu hapa:lying:
 
kwanza hapa maadili ya kazi hayakuzingatiwa

hata kama ana tatizo na ana fanya vitendo hivyo kweli, ni suala baina ya mgonjwa na daktari/mhudumu wake, sio kwenda kumwambia mume.

itifaki ya tiba haikuzingatiwa.

Kwani hii ipo bongo basi, wanafanya kazi kama vile wanatoa msaada, na hata msaada ukito, sio lazima kumsimanga muhusika.....
 
Sasa ndugu yangu wengine station hii redio haishiki kabisa ...............utafanyaje........... mi naona mauzauza tu hapa:lying:

GFM..........haya ni maji yamezidi unga mwenzangu hata sijui nsemeje.................nway pole Buji buji inaelekea hamkuwa wazi to each other toka mwanzo.........but mh angeanzaje kukwambia kuwa alienda kinyume??

But hapa nimepata somo ...........una uhakika kuwa tangu umekutana naye amekuwa mwaminifu kwako? Kama ndio ina maana hii ni hayo ni madhara ya miaka miwili sijui mitatus kabla hujamwoa. Kama ni ndio basi ina maana yale marinda huwa hayarudi sehemu yake hata ufanyeje............si kama voda ambayo ikishamaliza upiga credits hurudi na kuwa intact??
 
Kaka hapo ni jino kwa jino. nwe kamata demu wa mtu mpe kitu. Acha kulalamika, mkaribishe wifu home na kiumbe chake lakini hasira zote ziende kwa wake wa majirani zako

sasa huu uchawi ndugu yangu, ili iweje sasa, na hiyo harufu inayokaga huko nyuma ivi inakuaje hapo, unavaa mask au inakuaje ......?
 
mie kwanza ningeanza kwa kuwashitaki ma nesi .........................mameniondolea amani wakati kimsingi kazi yao haiwaruhusu kunipa mie maelezo hayo 😀
I second that, unajua hapo, hiyo information inaweza ikawa ndio mwisho wa hiyo familia ........ God forbid ......
 
Sidhani kama itasaidia. Cha muhimu hapo ni wewe kuyamaliza na mkeo, akwambie kama huo mlango wa chai maharage ulitanuliwa na baiskeli au kazi nzito za shambani
Hahah .......... hii baiskeli ni ile ya uwanda wa sita kwa sita au nyingine
 

:confused2: isije ikawa na shemeji yetu alikuwa ana matarajio haya ...........kama ni kweli maana hapa maji yamezidi unga kwakweli
 
ukila doggy na ukiona anajamba ovyo ujue tayari ..watu walishapata haluli kwa saaana
 

Nafikiri kabla ya kuoa ni vizuri kupima 'sound' ya njia ya haja kubwa ya bi harusi mtarajiwa - kipimo kipo na kitasema kama normal sound au ndio not sound! Pia inategemea umemtoa kijiji gani na cha mkoa upi ....
 
yanini uandikie mate na wino upo..testi zari upime ujazo, bwawa au kisima..utakuwa na maamuzi zaidi.
 
Mhhh.....! Aidha, pole sana, na umuombe Mungu akupe nguvu na faraja kwa kipindi hiki kigumu....! Lakini nina shaka na ukweli wa tukio hili, kwa maana ingelikuwa ni mimi hata nisingekuwa na nguvu ya kuandika kama wewe ulivyoweza....! Lakini pia kaa chini, utulie kama mwezi bila kutoa maamuzi yoyote, hadi upate nguvu ya kufikiria juu ya tukio hili....!
 

Nooooooo!!! manesi huwa wanaongopa sana kaka/dada Ntinginya
Si mchezo hawa watu, tena muombe Mungu cku ya kujifungua au mkeo akienda
kujifungua, Mungu amuandalie manes/nesi mwenye utu manake......

Kaka Bujibuji wewe ndiyo unayemjua mkeo,
So take simple, mpokee mtoto kwa furaha na shangwe, mwandalie mama mtori kwa wingi
apate kugain then uendelee kuthibitisha if its true, na ujue source yake.

Then Mungu akupe neema ya kumsamehe if its true, na maisha yaendelee.
Kwani ni mangapi tunakosea mengine ni siri yetu na Mungu lakini anatusamehe jamani.
 

Kuna mama alikwenda kujifungua, akawa mlalamishi na kwa bahati mbaya akakorofishana na nesi mmoja.. nesi akasema nitakuonyesha.. alipojifungua akawa amelala, alipokuja mumewe, nesi akamvaa na kuanza kumshambulia kama unavyosema wewe.. na jamaa aka conclude hivyo kuwa mkewe alikuwa akifanywa kinyume. Mwisho lakini katika kufuatilia alikuja kugundua uhuni wa huyu nesi na kumshitaki, mwisho alifukuzwa kazi.. fanya uchunguzi zaidi.
 
Bujibuji huo ni uzembe mkubwa, haiwezekani ukashindwa kujua mkeo kama alikuwa anagawa tigo yake nje!ukiwa unasex na mkeo kama huwa analiwa tigo nje utajua tu, there are some signs..........we vipi bana bujibuji acha uzembe!
Hebu zitaje hizo sign?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…