Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

Nimezoea Reggae na Hip Hop leo nimeiongeza Gospel kwenye orodha yangu

Mimi Ni Mtu Wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
679
Reaction score
1,295
Jioni baada ya kutoka mihangaikoni nimekaa geto, nikitafakari siku yangu imeendaje. Wakati huo wa kutafakari huwa napenda kusikiliza muziki na miziki yangu mara nyingi ni Hip Hop na Reggae ila leo nikaamua nisikilize Gospel.

Dah, siku yangu imeisha vizuri mnoo. Hawa wamehusika kuniburudisha;

~ Mwahangila
~ Mwisabwite
~ Mwaitege
~ Muhando
~ Boaz Danken
~ Sifael Mwabuka

Dah, ila Mwahangila ni fundi sana na ana kwaya inaimba ni balaa.
 
Back
Top Bottom