Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio zinapigwa mno kuliko wasanii wengine, Hakuna Cha Diamond, Ali kiba, Mario. Msaa Zuchu kutoka WCB na Harmonize kutoka Konde Gand kwakweli wanasikilizwa sana maeneo yote ya Tanzania.

Hili jambo lilinishangaza, kwakuwa wanamuziki waotrend Sana , hasa kwenye mitandao ya kijamii ni Mario, Ali kiba na Diamond. Lakini Mtaani anepigwa zaidi ni Zuchu na Harmonize, Sijui waoane tu.

Wadau pia nyie toeni maoni yenu, ila kwa wale ambao wamezunguka sana nchi hii, sio upogo tu ubungo kibangu muda wote , miaka yote , huwezi kujua hii
 
Ni kweli hata hapa nairobi hali ni tete imefikia kipindi mpaka maandamano ya chini chini yanafanyika kumuondoa huyu mtu kwenye game lakini wapi...

Harmonize is he another level wakuu
 
Rada safi navizia watoto wa Nairobi
 
Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio zinapigwa mno kuliko wasanii wengine, Hakuna Cha Diamond, Ali kiba, Mario. Msaa Zuchu kutoka WCB na Harmonize kutoka Konde Gand kwakweli wanasikilizwa sana maeneo yote ya Tanzania.

Hili jambo lilinishangaza, kwakuwa wanamuziki waotrend Sana , hasa kwenye mitandao ya kijamii ni Mario, Ali kiba na Diamond. Lakini Mtaani anepigwa zaidi ni Zuchu na Harmonize, Sijui waoane tu.

Wadau pia nyie toeni maoni yenu, ila kwa wale ambao wamezunguka sana nchi hii, sio upogo tu ubungo kibangu muda wote , miaka yote , huwezi kujua hii
Tanzania nzima? 🤣🤣
 
Sema harmonize amenikera kunichukulia pisi yangu Abigail chams!
 
Usifollow page yangu kama unaona nakosea.
Follow shilawadu kama unatafuta umbea.
Napenda kuwakumbusha mi wa kwanza....
Usinielewe vibaya sizungumziii nani alianza..... Respect for the legend...

Kipusa shusha tipaaaa jeshi agiza tungiiiiii
 
Way back I have been doing this shit
Kama sio shivo...mimi ni master
Me and niggas we equal
Hanging with beautiful people.....
 
Back
Top Bottom