Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Ukweli Gani huyu fundi alikua anaongea kama dharau sababu hata saidia wake anamdharau sanaSasa wewe umezoea kupaka poda na kula makoronya unaambiwa ukweli unasema unatukanwa
Duuuh aiseeMpotezee tu maana alijua nawe ni deiwaka
Sa umfukuze kosa lake niniDuuuh aisee
Njaa siwezi kuiacha nitaibeba tumboni sababu lazima niisikieAcha njaa kama unahela gawa riziki wenye nguvu wakabebe zege...sasa saidia fundi unavaa track unadhani hayo ni matembezi ya mei mosi kwa mkapa ?
Hasira za nini mimi sijakusababishia huo umasikini wakoWe nae zamwamwa kweli Yan unavaa track kwenye zege kama umeenda kwenye disko la kuzindua mwenge,🥶
Daah Mimi nimemkaliz kimya kiufupi jamaa anamdomo mchafu na dharauNingekua Mimi ningemwambia aniombe radhi na iwe marufuku kutukana kwenye site yangu. Asipofanya hivyo easly anaondoka
Hasira za nini mzee Mimi sijakusababishia huo umasikini wako ulionaoNilichogundua wewe una upumbavu mwingi na story nyingi za kutunga.
Tafuta solar ya umeme,mpige kazi hadi Usiku wa manane,ajue wewe sio bishoo ni boss wake pia!Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa