Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa