Hivi vidude huwa naviona kwenye kachori huwa ni vinini?
Hivi vidude huwa naviona kwenye kachori huwa ni vinini?
Aaah sawakamba
DuuhMshukuru huyo jamaa,anataka kazi ifanyike ipasavyo na kwa wakati
Uduvi unanafanaje?kamba
AiseeSasa maneno mazuri kabisa hayo unaanzisha mpaka uzi?
Kwa mafundi hiyo ni kawaida.
Watu wanaitwa mpaka machoko na fresh tu kikubwa kazi inaenda.
Daah Mimi nimemkaliz kimya kiufupi jamaa anamdomo mchafu na dharau
Uduvi unanafanaje?
Aaah sawa
sio dharau hiyo ndiyo lugha za mafundi mradi umeyavulia nguo maji yaoge tuWakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Mara ya kwanza nafika mwanza enzi stendi ya buzuruga haijahamishiwa nyamuhongoro, naingia zangu kwa mamantilie hapo buzuruga ananiijia mama kwenye meza niliyokaa namuuliza una chakula gani, anaanza kutaja orodha ya vyakula mpaka alipofikia ugali na furu nikastuka nikauliza hao furu ndo nini,.. aiseee nilionekana naringa kwa kutowajua furu ambapo ni kweli nilikuwa siwajui,nilivyoambia ni visamaki vidogovidogo vya kukaanga nikaoneshwa na sample ikabidi nimwambie mama nipe haohao tokea pale nawapenda balaaKwenye kazi ngumu ngumu maneno mabovu huwa ni kawaida nafikiri huwa ni kama ka saikolojia fulani!, binadamu wengi wao kwenye kazi ngumu ngumu huwa tunakuwa na hiyo mentality!..
Hata hivyo ukute nawewe ulikuwa umejilegeza ndio na unavaaje tracksuit kwenye kazi ya zege!, wangekukata pesa na furu usingekula...
ila we boss mtata unawalisha fundi zako furu...🤣
Wanamiba wale babu ukitafuna tafuna kweli!, sikuhizi nimekuwa sipendi samaki wadogo wadogo huli kwa raha pia sipendelei samaki wenye mifupa mingi, samaki akishakuwa na mifupa mingi nakosa raha ya kula japo samaki ndio mboga no 1 nayoikubali!Mara ya kwanza nafika mwanza enzi stendi ya buzuruga haijahamishiwa nyamuhongoro, naingia zangu kwa mamantilie hapo buzuruga ananiijia mama kwenye meza niliyokaa namuuliza una chakula gani, anaanza kutaja orodha ya vyakula mpaka alipofikia ugali na furu nikastuka nikauliza hao furu ndo nini,.. aiseee nilionekana naringa kwa kutowajua furu ambapo ni kweli nilikuwa siwajui,nilivyoambia ni visamaki vidogovidogo vya kukaanga nikaoneshwa na sample ikabidi nimwambie mama nipe haohao tokea pale nawapenda balaa
Samaki Raha yake mnofu akiwa na miba mingi aisee Bora ule maharage tu ujue moja maana utaangaika kuitoa miba mpaka ugali unapoaWanamiba wale babu ukitafuna tafuna kweli!, sikuhizi nimekuwa sipendi samaki wadogo wadogo huli kwa raha pia sipendelei samaki wenye mifupa mingi, samaki akishakuwa na mifupa mingi nakosa raha ya kula japo samaki ndio mboga no 1 nayoikubali!
Ile miba ikishachomwa na mafuta huwa milaini tu meno mbili tu natupia tonge nachanganya mara moja natupia shimoniWanamiba wale babu ukitafuna tafuna kweli!, sikuhizi nimekuwa sipendi samaki wadogo wadogo huli kwa raha pia sipendelei samaki wenye mifupa mingi, samaki akishakuwa na mifupa mingi nakosa raha ya kula japo samaki ndio mboga no 1 nayoikubali!