Nimfanyaje huyu fundi Kwa hizi dharau alizonionesha

Sasa maneno mazuri kabisa hayo unaanzisha mpaka uzi?
Kwa mafundi hiyo ni kawaida.
Watu wanaitwa mpaka machoko na fresh tu kikubwa kazi inaenda.
 
Daah Mimi nimemkaliz kimya kiufupi jamaa anamdomo mchafu na dharau
  • Zingatia kilichomleta hapo, ni kazi.
  • Je kazi anafanya kwa ufanisi? kama ni ndio, basi zingatia ukamilifu wa kazi, Hayo mengine achana nayo iwe ni sehemu ya kujifunza jinsi watu walivyo na wanavyotofautiana.
 
😂 Alikwambia uache ungese, SASA MUONYESHE UNGETHE UNAFANYAJWE 😁
 
Tatizo na wewe umezidi kazi zingine hazikuhusu au unajifunza hata kama boss,,
 
sio dharau hiyo ndiyo lugha za mafundi mradi umeyavulia nguo maji yaoge tu
 
Mara ya kwanza nafika mwanza enzi stendi ya buzuruga haijahamishiwa nyamuhongoro, naingia zangu kwa mamantilie hapo buzuruga ananiijia mama kwenye meza niliyokaa namuuliza una chakula gani, anaanza kutaja orodha ya vyakula mpaka alipofikia ugali na furu nikastuka nikauliza hao furu ndo nini,.. aiseee nilionekana naringa kwa kutowajua furu ambapo ni kweli nilikuwa siwajui,nilivyoambia ni visamaki vidogovidogo vya kukaanga nikaoneshwa na sample ikabidi nimwambie mama nipe haohao tokea pale nawapenda balaa
 
Wanamiba wale babu ukitafuna tafuna kweli!, sikuhizi nimekuwa sipendi samaki wadogo wadogo huli kwa raha pia sipendelei samaki wenye mifupa mingi, samaki akishakuwa na mifupa mingi nakosa raha ya kula japo samaki ndio mboga no 1 nayoikubali!
 
Samaki Raha yake mnofu akiwa na miba mingi aisee Bora ule maharage tu ujue moja maana utaangaika kuitoa miba mpaka ugali unapoa
 
Wanamiba wale babu ukitafuna tafuna kweli!, sikuhizi nimekuwa sipendi samaki wadogo wadogo huli kwa raha pia sipendelei samaki wenye mifupa mingi, samaki akishakuwa na mifupa mingi nakosa raha ya kula japo samaki ndio mboga no 1 nayoikubali!
Ile miba ikishachomwa na mafuta huwa milaini tu meno mbili tu natupia tonge nachanganya mara moja natupia shimoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…