muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,205
- 15,594
Unakaba sana mzee,wape uhuru.Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
ChattermanWakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Hahahaha jamaa ako huyo kwenye Uzi wake wa ualimuHakuna kitu kama laana mkuu, hizo ni hadithi za watu tu.
Baba wa Taifa lako mwenyewe Mwalimu, utasemaje kazi ya Ualimu ni laana?
Hatujawahi kukutana na mmiliki masikini anayeendelea kuchuma alichokwishachuma.Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Kwani sio Deiwaka?Duuuh aisee
Watu wana frustrations zao maisha haya.Hahahaha jamaa ako huyo kwenye Uzi wake wa ualimu
Leo akoroga zege,
Afu anatukana kazi za wengine,
Kazi zote ni muhimu na sawa maake tunategemeana
Too much Sasa,Sasa,hii inaashiria kuwa wewe ni mtu wa aina Gani,1.Sasa 2.Sasa jana fund 3.Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama 4.Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu 5.Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Nakubali unachosema kaka....Watu wana frustrations zao maisha haya.
Tuwaonee huruma tu.
Hamna Mimi hapo nipo chini ya fundi wangu niliempa kazi na Wala sichukui pesa ya saidia fundi mkuu ila huyo rafiki yake aliyemleta anamaneno ya shombo sanaJapo wewe ndio mwenye nyumba, kitendo cha kukubali kuwa mkoroga matope wake maana yake upo chini yake, kwa muda huo yeye ndio bosi wako huna cha kumfanya ila yeye anaweza asikupe ata hela yako ya saidia fundi.
Mwambie huyo mwenye maneno ya shombo apige kazi aache ujinga.Hamna Mimi hapo nipo chini ya fundi wangu niliempa kazi na Wala sichukui pesa ya saidia fundi mkuu ila huyo rafiki yake aliyemleta anamaneno ya shombo sana
We jamaa unaonekana ni mtu wa misifa sana, yani kujenga kichumba na kisebule ushatangazia Kila mtu ili wajue unajenga! Kila siku unaanzisha nyuzi za kijumba chako😅 huo ushamba Babu.Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Wewe unawachelewesha mafundi kumaliza kazi. Waachie wafanye kazi wewe usimamie bampa to bampa!Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa traki eti nitakatwa pesa na furu kuniambia niache usenge eti Mimi mtoto wa mama Sasa fundi wangu niliempa kazi akawa anacheka anasema wewe huyo ndio bossi jamaa akastop matusi aliyokua ananitukana akaanza kuzuga kumpelekesha saidia wake Mimi nimemkaliz kimya tu Sasa nilikua nauliza wakuu nimfanyaje huyu fundi mwenye dharau je na wenzangu mshawahi kukutana na watu wa aina hii mods naombeni msiupeleke kokote huu Uzi zaidi ya hapa
Atakuwa mwenye hela ni mke wake. Kama angekuwa muelewa kazi angeitoa kwa mafundi yeye akasake helaDakika za mwisho watakushika makalio sasa... Kwani kwenye shughuli zako za kila siku hamna shughuli?
Hasira za nini mzee Mimi sijakusababishia huo umasikini wako Kwa ulionaoWe jamaa unaonekana ni mtu wa misifa sana, yani kujenga kichumba na kisebule ushatangazia Kila mtu ili wajue unajenga! Kila siku unaanzisha nyuzi za kijumba chako😅 huo ushamba Babu.