Nimfanyaje huyu house girl wangu

Msisingizie pombe ni umalaya wenu ebooo mbona wengine tunakunywa na hatufanyi upuuzi kama huuu
Alidhamiria huyu, mimi nilishawahi piga maji Vibaya na mke wangu alikuwa Safarini zaidi ya mwezi mmoja nilikuwa na ukame wa kutisha, mbaya zaidi mdada wetu wa nyumbani alikuwa mzuri na hajatulia akawa ananiwekea mazingira nimwingilie mbona nilimuasa na kumgombeza asinifanyie hivyo kaka yake kesho yake alitoroka kwenda kwao maana hakuona mahala pa kuiweka sura yake

Mbona hapo kwenye rangi nyekundu pana tofauti kubwa sana na hapa pa bluu..!

Join Date : 3rd August 2011
Posts : 3

Rep Power : 0

Mkuu labda kaminya ID yake ya miaka mingi ili kulinda reputation yake.

Unafikiri ukitembea nae ndo umemaliza tatizo? si ndo unaliongeza? hata kusikiliza hata kidogo zaidi kiburi kitaongezeka kwako na mkeo, la muhimu tell ur wife mapema mueleze matokeo ya ulevi hayo.. mkiambiwa ulevi noma hamtaki. Au mrudisheni binti wa watu. Dume zima huoni aibu kuweka upuuzi wako hapa eti nitembee nae ndo dawa, unyanyasaji huo. sometimes men are fool and i hate them.

Jamani hizi nyege gani we kaka, dah na hivi ndio natoka safari sijui dada keshamegwa? wanaume jamani kwa nini hamna uvumilivu.yaani unataka kulala na dada wa ndani kwani huko bar hukuona wadada webgine,kama ni hizo ny... zilipanda?

lazima uelewe kiasi cha pombe unachotosheka sio kulewa bila mpangilio. pombe sio chai; siku moja utaweza kummbaka mwanao na hata mama yako mzazi pia ukimfananisha na mkeo.

funda moja la ziada litakuumbua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!jitambue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

lazima uelewe kiasi cha pombe unachotosheka sio kulewa bila mpangilio.  pombe sio chai;  siku moja utaweza kummbaka mwanao na hata mama yako mzazi pia ukimfananisha na mkeo.

funda moja la ziada litakuumbua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!jitambue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kitufe cha thank you hakipo,ila kula tano.vitu vyengine sio sifa,ni aibu hasa kuuliza

unaonekana imekuuma kwel bt hii kawaida2 na njia muafaka ni kumaliza tatizo, aende kumpigia magoti wf aongee wamalizane

Chunga tamaa mbayaaaaa.Na siku akimwambia mkeo sijui utajificha wapi...

naamini ukichukuwa uamuzi wa kumfukuza-lazima alipue hilo habari,na hapo ndipo utakapo ku-cost mara 2,CHA KUFANYA ACHA HIYO TABIA

Bila shaka Muda wote atakuwa alikuwa akiingia kama guest.

km ni kweli ulikuwa na ukame wa mwezi,na ukawa umepiga tungi haswa,na dada alikutega,basi utakuwa ulikula kitu pale!for sure!

ongea naye kiutu uzima,umuombe msamaha....na mkeo pia muombe samahani,endelea kuonyesha authority nyumbani kwako kwa kutoa amri/maagizo ya nini unataka kifanyike akileta dharau mkaripie/muonye akizidi mwambie mkeo mfukuze!....honestly nyumba yako haitakuwa the same baada ya huu upuuzi uliofanya....learn to live with it.....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…