Nimfanyaje huyu house girl wangu

Nimesoma comments zote, wengine wamenidharau, wengine wamenitukana ila mimi nimeongea ukweli and I dont know what to do. Kama una lolote la maana la kuniambia plz let me know.
 
Jamani hizi nyege gani we kaka, dah na hivi ndio natoka safari sijui dada keshamegwa? wanaume jamani kwa nini hamna uvumilivu.yaani unataka kulala na dada wa ndani kwani huko bar hukuona wadada webgine,kama ni hizo ny... zilipanda?

Mh! Shantel...!
 

Sasa udau wa siku nyingi unahusiana vipi na kisa chako?
 

Lulu mbona umekuwa mkali bana,,, nini zaidi, jamaa si alikuwa bati kasema!!!acha tuisingizie pombe tu hapa....
 
Acha uzinzi mkuu,hilo ulilotaka kufanya ni kosa kubwa sana la kiufundi na kumshusha P mkeo,na dharau haitaishia kwako itaenda mpaka kwa mkeo.
 
sikuzote nasema si lazima wooote tuwe waandishi wengine tunaweza kuwa wasomaji tu jamani,mi si muandishi but imebidi niandike maana jamaa kaandika pumba ambazo siwezi kuvumilia kuzisoma,mbn hakuomba ushauri kabla ya ya kwenda kunywa?alijua kabisa mkewe hayupo so atapita bar ,kunywa kidogo zen ataenda kwa HG akamchombezeeeeeeee alidhani kila cku mdebwedo eeeeeh?imekula kwake na zipu yake isofunga.,inaelekea ndo mchezo wake muache kila mla vya wenzie?..................
Lulu mbona umekuwa mkali bana,,, nini zaidi, jamaa si alikuwa bati kasema!!!acha tuisingizie pombe tu hapa....
 
<br />
<br /
Wala si ulevi uliomtuma,alimdhamiria huyo msichana wa kazi tu kwa kutokujiheshimu yeye na kutomheshimu mkewe. Ulevi gani umtume kuzini na dada ila akumbuke ndani kuna watoto na bibi yao wamelala. Mzinzi tu huyo anayesingizia ulevi.
 
Dada mbona unanisimanga? Ilikuwa ni ulevi tu

Ulevi ni noma! Ningekuwa wewe kuanzia siku hiyo ningechana na pombe. Coz pombe kwako ukilewa cha kwanza inakutuma kufanya ufuska. hii ni hatari sana..na kama angekubali kwa vyovyote ungekuwa huna kinga so ingekuwa ni mwendelezo wa mimba na maambukizi ya kujitakia.
 
Kwa ujumla mtu ukiwa umelewa inasemekana unadisplay hiden character yako ambayo mara nyingi huwa unaweza kuificha ukiwa hujalewa. Kwa hiyo ulichafanya hapa unaonyesha ukweli that huwezi kumvumilia mkeo. For sure you need to change.. kama ni pombe nakushauri uache coz hufai kunywa pombe! pombe zinawenyewe wanaoziweza!!!
 
wala sio pombe, ulikuwa unamtamanui kwa muda mrefu sasa ndio ulikuwa unajaribu bahati yako.....huyo mdada ana nidhamu kweli kwei, hiyo dharau anayokuonyeshea ndio nzuri sana, sasa ngoja wife amalize matatizo arudi home aone hayo mabadiliko ndio hapo utapojua cha kumueleza, kuna watu mnapenda kujikosesha amani kweli....
 
Mpaka sasa najiuliza wewe ni kijana wa aina gani, nafikiri haya mambo wanafanyaga wazee ambao wake zao washajichokea
 
Nimesoma comments zote, wengine wamenidharau, wengine wamenitukana ila mimi nimeongea ukweli and I dont know what to do. Kama una lolote la maana la kuniambia plz let me know.

wewe nae ni boya yani madem wote hao kitaa unataka kula housgal?!
Then katika story zote za wanaokula housgal wao cjawah kuckia aliyeshindwa, yani housgal pia anakutosa!
 
Next time nenda naye bar wote mlewe kisha umwambie ukweli wa nia ya dhati kuwa unamtaka kimapenzi na sio kusingizia pombe
 

sasa huu ndo ushauri wa kumsaidia uliompa au ni nini!!??? sidhani kama utatatua tatizo alilonalo!!!
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana majibu ya wadau mbalimbali na kugundua kwamba wengi wameshindwa kukushauri cha kufanya kuhusu huyo H/G au wamekuponda na kukulaumu tu. Haya mambo bwana yapo katika jamii tunamoishi: haijalishi kama unatembea na h/g au mtu yeyote nje ya ndoa, cha msingi ni kwamba unazini na unamsaliti mwenza wako ambalo ni kosa.
Kwa vile wewe mheshimiwa umeshafanya hilo kosa na unajuta ni vema kuanzia sasa uache pombe kabisa na badala yake anza kuwa mchamungu wa kupindukia: kwa maana kila upatapo muda jaribu kupitia biblia au msahafu au maandiko yoyote yale ya mungu. Na hakikisha kwamba unahudhuria nyumba ya ibada kila mwisho wa juma huku ukiwahimiza familia nzima akiwamo yule h/g ukiwasisitiza juu ya umuhimu wa ibada na ukiwaeleza kwamba umeamua kubadilika na kuibadilisha familia baada ya kugundua kwamba pombe na anasa zingine hazina faida yoyote zaidi ya kuharibu heshima yako na kurudisha nyuma maendeleo ya familia.
Kwa kufanya hivyo ndugu yangu utakuwa umewaua ndege wawili kwa jiwe moja kwani yule h/g atajua kwamba umeamua kuungama kwake na kwa mungu kuhusu kitendo kile cha usiku wa siku ile na la pili ni kwamba kama alishamweleza mkeo naye atafurahi kwa namna ulivyojutia kosa na kumrudia mungu wako. Kwa hiyo hata tabia ya yule msichana itaanza kubadilika taratibu na kuanza kukuheshimu tena kama zamani na hata mkeo hatakuchukia ila ni muhimu ubadilike kweli na sio kuigiza. Nakuomba utujuze matokeo ya ushauri huu baada ya muda utakaoona unafaa, pole sana. ULEVI NOMA!
 

wenzio hawaiigii kichwakichwa hivyo lazima ufanye upembuzi yakinifu, ili kujiridhidha kuwa mpango huo haukwami, yaani ulitakiwa uweke mazingira kwanza. Mpaka sasa umeshachemsha yani huyo achana naye kabisa, kwanza katoka mkoa gani huyo maana msimamo wake kama wa kishumundu vile ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…