Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!
Lazima muelewe kwamba sia nia yangu kumtesa, lakini ni lazima a-face consequences
Hizi double standards huwa zinanifurahisha sana, yaani mwanamke anakuwa dhaifu only for her own convenience. Kila siku mnapiga mikelele me=ke ila zinapokuja ishu kama hizi, mnaleta ishu za mwanamke dhaifu sijui nini, Mi nadhani inabidi ifikie mahali tuset standards tu either ke ni kiumbe dhaifu au ke=me kuliko hii michanganyiko iliyopo sasa hivi.
Kama unajua msela yupo
na anakujali
mwanamke kuvurunda huwa ni kugusa tu
sijui kwa nini
ila kama hakujali
adabu 100%
Lazima muelewe kwamba sia nia yangu kumtesa, lakini ni lazima a-face consequences
Asiyesikia la mkuu,msamehe tu,naamini hakutegemea kama ujauzito ungetoka.Akili yote iliishia kwenda kumzika kaka yake.BIBLIA INASEMA "ENYI WAUME ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU"
Nimefiwa na mama, when I was young, na nilifiwa na baba ambaye nilimuuguza mwenyewe na akarudi nyumbani akiwa amepona lakini akazidiwa ghafla na kufariki, but I didin't panic, nilijipanga na kwenda nyumbani kuzika. so what is abig dill kufiwa na kaka! All of us we will die one day, none of us wil live forever!
Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!
Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!
Wewe si mkeo, uwezo wako wa kuhimili matatizo kama msiba hauko sawa na wake,so usilazimishe maamuzi yenu yafanane. Hakuna haja ya hasira wala ubishi mwingi,mimba imeshatoka,angalia mbele na msaidie mkeo,halijamfurahisha hilo na kama ni kuumia yeye kaumia zaidi aliyeibeba....huh!
Ohhh dearest. . nimefurahi kweli kukuona.You've been missed!!
Hehehehe asante dearest.Sasa mwaka ukiisha unatuacha solemba tena au utakuwepo?he he he he,missed you more dearest,nimeona tumalize mwaka pamoja, am so happy to be here today,ila sijawahi kuacha kusoma thread zako,kila nilipopata muda....Unaendeleaje dearest??
Hehehehe asante dearest.Sasa mwaka ukiisha unatuacha solemba tena au utakuwepo?
Mi mzima kabisa, hofu kwako ambae hata ukitajwa hutokei.Lolz