Nimfanyeje mke wangu aipende na kuifurahia harufu ya sigara isimkere, Ndoa bado Changa

Kama ndoa ina miezi 3 ina maana anaweza kuvumilia na kuzowea,nenda nae taratibu,

Pia usiwe unavutia ndani,vuta nje ya nyumba kisha unatumia vitu kama Big G ili kupunguza harufu,

Usiku kabla ya kulala piga mswaki au tumia mouth wash,

Najua kuacha ni ngumu sana ila unaweza kupunguza,hasa muda unapokua nae wife hapo home kwako,

All the Best.
 
Wavuta sigara wote ni matahira wameshaambiwa ina madhara na bado wanavuta, nimenukuu mistar kwenye wimbo wa Ney wa Ukikua

Wavuta sigara wote ni matahira wameshaambiwa ina madhara na bado wanavuta, nimenukuu mistar kwenye wimbo wa Ney wa Mitego
Ukikua au ukiishi na kusafiri unaweza ukajiona wewe na Ney wa Mitego ndio matahira. Kila kitu kina madhara inategemea na afya unaifanyia checkup kiasi gani. Soda na Energy zina madhara sawa na sigara. Sasa kama ufikirie Sigara peke yako
 
Sigara za nini? Jiamini . Chanzo kikuu cha mtu kujiingiza kwenye kuvuta sigara ni kutokujiamini kuwa amekuwa ..hivyo utafuta vitu ambavyo vitamfanya aonekane amekuwa na mwamba , kumbe ni upumbavu wa kuto kujiamini.
 
Huyo mwanamke naye hamnazo alimkubalije bwege km wewe?
 
shida ya sigara siyo mdomo tu, ni mwili mzima unanuka sigara, jasho linalotoka limechanganyika na sigara, nguo zinanuka sigara, pumzi inanuka sigara..!

hakuna kiumbe ana uvumilivu kama mwanamke..!πŸ™ŒπŸΎ
 
shida ya sigara siyo mdomo tu, ni mwili mzima unanuka sigara, jasho linalotoka limechanganyika na sigara, nguo zinanuka sigara, pumzi inanuka sigara..!

hakuna kiumbe ana uvumilivu kama mwanamke..!πŸ™ŒπŸΎ
Lissu ni Moja kati ya viumbe wenye uvumilivu
 
Vutia mbali jamani.
Ndo urudi nyumbani.
Mkiwa na mchanga utaendelea kuvuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…