Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

Huoni kwamba Chadema wamepata msingi wa kusimamia msimamo wa kukataa maridhiano fake?
 
kwa hiyo hayo madaraka hayatoisha?

anachokilima atakivuna, yeye hadi vitukuu vyake. Hizi damu za watu anazomwaga atajuta sana
 
Wewe unadhani hawana hizo footage na records ?
 
Haka ka kiburi hata Polepole alikuwa nako sana, leo KAUAWA na genge hilo hilo.

Ngoja tusubiri.

Ninachojua hata wewe zamu yako ya KUUAWA iko njiani, maana genge la wauaji liko kazini.
 
Ni kama nakuelewa hivi
 
Samia licha ya mauaji ya halaiki ya October 2025 yaliyomuweka kwenye kiti bado ameendelea kuteka, kupoteza na kuwabambikia kesi za ugaidi wanachama na viongozi wa Chadema, inahitaji akili ya maiti kumuamini.
 
Yote kwa yote ,hili la MAUAJI YA KIMBARI YA Oct 29/2025 ni DOA kubwa sana kwenye ardhi ya Mama Tanzania...lazima SAMIA na CCM yake wakubali mabadiliko makubwa ya kimfumo wa Uchaguzi, mfumo wa haki, uhuru wa habari , na hatua ya mwanzo kabisa baada ya hayo mavikao yao, ni kutupatia KATIBA BORA
 
Hili la kuua waTanzania hata afanye nini haliondoki. Ni hirizi atakayoivaa maisha yake yote na vizazi vyake vyote.
 
Labda hizo kurasa nne waliompelekea ni kama mtego kwa Saa100
Kama hawamlazimishi kukaa pembeni, hilo hana tatizo nalo.
Penye tatizo ni yeyote anayetaka akae pembeni kabla ya 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…