Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

Kwa wao kumtambua kuwa ni ‘mheshimiwa Rais’, hapo wamekosea sana.

Samia siyo Rais maana hakuchaguliwa kihalali na Watanzania.

Oktoba 29 hakuna uchaguzi uliofanyika.
Wao (Maaskofu kupitia kwa Padre Kitima) wanasema "Kaapishwa).

Mtu asiyeheshimu kiapo utasema kaapishwa?

Mantiki waliyotumia hapa kwa kweli haiingii akilini hata kidogo.

Wao walichotakiwa kufanya ni kumfikishia tu huo ujumbe wao; hapakuwa na ulazima wowote wa kutangaza hadhi ya huyo aliyopelekewa ujumbe.

Kwani hawakuweza ku-'address' bila ya kutaja cheo?

Yule Kabuti la Maganda anasema Samia kawekwa na Mungu! Haya majitu mengine sijui akili zimewatoka kabisa vichwani?
 
Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.

Ni njia moja hiyo hiyo ya kutegemea kuwa CCM watabadilika kwa maneno ya kubembelezwa; hatua hii walishaipita siku nyingi sana wao.

Mabadiliko yoyote Tanzania sasa hivi yatatokana na shurti/lazima, siyo kubembelezana kwa maneno matamu tena.
Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.

Mkuu mbona hata hao maaskofu wenyewe wanalijua hilo
 
Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.

Mkuu mbona hata hao maaskofu wenyewe wanalijua hilo
Basi kama wanalijuwa waachane na tabia za kinafiki (napata taabu sana kuwasema hivi).

Ulaghai ndio umetufikisha hapa tulipo leo; sasa tnasema "uswahiliswahili); kutokuwa 'straight' juu ya jambo/ujumbe unaotaka kuuwasilisha; badala yake unarembaremba, hadi unapoteza maana, hadi kwa huyo anayeupokea!
Utategemea matokeo mazuri?

Maaskofu wenyewe wanakazia "UKWELI" katika hayo wanayomtaka mlengwa ayasimamie; halafu wao wenyewe wanashindwa kuwa "wakweli" hata katika jambo lililowazi kabisa, kwamba Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na waTanzania kuwa rais!
 
Ndio maana huko juu nilicomment itakuwa kuna maamuzi mazito yanakuja mbele ya safari, so hiyo wamefanya kama kunawa mikono au kujiondoa lawamani na ya baadae.
 
Ndio maana huko juu nilicomment itakuwa kuna maamuzi mazito yanakuja mbele ya safari, so hiyo wamefanya kama kunawa mikono au kujiondoa lawamani na ya baadae.
Sina shaka kwamba nia yao ni njema kwa mstakabali wa taifa letu.
Naelewa utulivu wa taifa hili ndio unaowapa wao kufanya kazi zao vizuri. Kwa hiyo wanayo maslahi.

Bahati mbaya tu ni kwamba juhudi kubwa sana zinafanywa ili ionekane kuwa wanachofanya ni kupinga tu hilo kundi jingine (ushindani wao), ambalo ndilo linaloshikilia hatamu sasa hivi; kundi linalohimiza "AMANI" tu kwa njia yoyote ile bila ya kuzingatia HAKI inayoendana na amani hiyo.

Haya yanayotokea, yanalazimishwa tuyaone katika misingi hiyo.
Sielewi kuwepo kwa haki katika maisha ya kila mmoja wetu kunainyima kitu gani Tanzania?
Hili nadhani ni swali tunalohitaji kulijibu.
 
Back
Top Bottom