Nimjuavyo Samia, Hawezi Kufanya Hayo Wanayotaka Wao

TEC sio chama cha kisiasa wala wale sio wanasiasa ni viongozi wa kidini.
Na siyo binaadam.
Hawaguswi kabisa na yanayowagusa hao wanaowafundisha hiyo dini yao!

Utakuwa unaakili za kitoto sana.
 
The whole idea ya kuomba kuonana na SSH kwa kipindi hiki haikuwa kete nzuri achilia mbali timing yake tu, ni kama kuna nguvu fulani wamemuongezea ukizingatia wao wenyewe wameshamtambua na kumpitisha kama Rais,.....bad Move!

Kuna tatizo mbele ya safari....wazee wenye busara kawaida huwa wanapenda kutoa maangalizo mapema.

TEC sio chama mbadala cha siasa. Lengo lao sio kuchukua dola. Kuonana na Rais ili wamueleze maono yao, ilikuwa haki ya msingi.

Hata kama watadharaulika....walishasema.

Mbona kama bahari imechafula n tunaona sawa tu?
 
Samia ndio Rais hayo mengine ni taratibu za kawaida za kifamilia 😂😂

Hao wengine watakubali tuu ni suala la mda.
 
Samia ndio Rais hayo mengine ni taratibu za kawaida za kifamilia 😂😂

Hao wengine watakubali tuu ni suala la mda.
Samia ni mhalifu/jambazi kwa kipimo chochote unachoweza kukitumia kuhusu nafasi aliyonayo.
Kama ilivyo kwa mhalifu/jambazi yeyote, wakati wake wa kuwajibishwa unafuata.
 
Niseme tu kwamba unayohoji ni ya kipuuzi; huenda unazo ajenda nyingine pembeni zisizokuruhusu kuwa 'objective'.

Kwa hiyo Padre Kitima hakunusurika kifo; na maiti zilizopelekwa kwenye mahospitali hayo hazikuwepo mpaka uonyeshwe video?

Wewe unataka uone video tu ndipo uridhike. Kwa maana hiyo waTanzania wengi waliopotezwa kwa kutekwa hizo ni stori tu kwa vile hujaona video.

Hii ni akili ya wapi hii.
 
Kafanye kazi acha hizi porojo
 
We unaishi na Samia mpk ujue anakosa usingizi? Kwl chadema ni mashoga wanaume gani kazi ni umbea wa kujitungia? Na yalivyo hayana aibu wanachangia uchafu km huu. Mlikimbia uchaguzi nyumbu nyie, Samia ni Rais halali.
 
Yaone haya MAZUZU, eti mkuu Kalamu! Serikali ya Samia haiioni chadema km tishio ht kidogo, CCM ni zaidi ya uijuavyo we bwanamdogo.
 
Samia ni mhalifu/jambazi kwa kipimo chochote unachoweza kukitumia kuhusu nafasi aliyonayo.
Kama ilivyo kwa mhalifu/jambazi yeyote, wakati wake wa kuwajibishwa unafuata.
Hawa nyumbu wa chadema wameharibu JF watu wenye akili wameukimbia, sijui kwanini Mello anaendekeza hawa wapumbavu? Watamfanya fukara hawa wanaharamu
 
Wewe ni chizi unayesumbuliwa na bangi nyingi kichwani.

Huna lolote la maana la kuchangia katika majadiliano kama haya.

Ninakufahamisha hivi ili ujuwe kuwa kuna siku na wakati maalum ambao tutakutana humu na mimi nikishabugia bangi za kutosha. Leo bahati mbaya sina msokoto wa kutosha.
Hii ni ahadi kwako.
 
Anyway TEC wametumia Hekima na Busara! Huwezi jua ni Siasa imetumika tu, huenda yeye mwenyewe ndiye aliyeomba kukutana nao lakini imefunikwa kwa namna yake kuwa TEC ndiyo walioomba kukutana naye!
Lakini yote yanawezekana kuwa TEC wamenyosha mikono juu.
Huenda matokeo ya kukutana yakaleta matunda!
 
Hamna Matunda yoyote hapo mkuu. Kuna tofauti kati ya Viongozi wa Kidini na Viongozi wa kiroho!.

Twisting=Uongo
 
Kwa wao kumtambua kuwa ni ‘mheshimiwa Rais’, hapo wamekosea sana.

Samia siyo Rais maana hakuchaguliwa kihalali na Watanzania.

Oktoba 29 hakuna uchaguzi uliofanyika.
 
Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.

Ni njia moja hiyo hiyo ya kutegemea kuwa CCM watabadilika kwa maneno ya kubembelezwa; hatua hii walishaipita siku nyingi sana wao.

Mabadiliko yoyote Tanzania sasa hivi yatatokana na shurti/lazima, siyo kubembelezana kwa maneno matamu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…