Wao (Maaskofu kupitia kwa Padre Kitima) wanasema "Kaapishwa).Kwa wao kumtambua kuwa ni ‘mheshimiwa Rais’, hapo wamekosea sana.
Samia siyo Rais maana hakuchaguliwa kihalali na Watanzania.
Oktoba 29 hakuna uchaguzi uliofanyika.
Kwamba wakizitoa?Wazitoe..isaidie haya mambo kukoma..wao ni Taasisi ya Kiimani siyo waandishi wa habari wa hapa wanaofungwa na Sheria mbovu na kandamizi za ma CCM..
Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.
Ni njia moja hiyo hiyo ya kutegemea kuwa CCM watabadilika kwa maneno ya kubembelezwa; hatua hii walishaipita siku nyingi sana wao.
Mabadiliko yoyote Tanzania sasa hivi yatatokana na shurti/lazima, siyo kubembelezana kwa maneno matamu tena.
Basi kama wanalijuwa waachane na tabia za kinafiki (napata taabu sana kuwasema hivi).Kutegemea "matokeo ya kuzunguza na Samia kuzaa matunda", naomba sana usinielewe vibaya; lakini hilo haliwezekani.
Mkuu mbona hata hao maaskofu wenyewe wanalijua hilo
Ndio maana huko juu nilicomment itakuwa kuna maamuzi mazito yanakuja mbele ya safari, so hiyo wamefanya kama kunawa mikono au kujiondoa lawamani na ya baadae.Basi kama wanalijuwa waachane na tabia za kinafiki (napata taabu sana kuwasema hivi).
Ulaghai ndio umetufikisha hapa tulipo leo; sasa tnasema "uswahiliswahili); kutokuwa 'straight' juu ya jambo/ujumbe unaotaka kuuwasilisha; badala yake unarembaremba, hadi unapoteza maana, hadi kwa huyo anayeupokea!
Utategemea matokeo mazuri?
Maaskofu wenyewe wanakazia "UKWELI" katika hayo wanayomtaka mlengwa ayasimamie; halafu wao wenyewe wanashindwa kuwa "wakweli" hata katika jambo lililowazi kabisa, kwamba Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na waTanzania kuwa rais!
Sina shaka kwamba nia yao ni njema kwa mstakabali wa taifa letu.Ndio maana huko juu nilicomment itakuwa kuna maamuzi mazito yanakuja mbele ya safari, so hiyo wamefanya kama kunawa mikono au kujiondoa lawamani na ya baadae.