Popoma alikula kona....Hii inanikumbusha UMUGHAKA aliwahi kutaka kutamtafuta memba mmoja wasichape😀
Popoma alikula kona....Hii inanikumbusha UMUGHAKA aliwahi kutaka kutamtafuta memba mmoja wasichape😀
Huwezi ukawa mzuri kwa Kila mtu, we tulia...endelea kumfafanulia taratibu kwa upendo kuna siku atakuelewa...usiwe kama wale wasiojulikana😛Nipe ushauri mkuu,tumfanyeje?
Napajua unapoishi, wewe jiandae kwa kipigonjoo unipige
Ndio aniite kiazi?una matatizo ya akili sio bure
numbu ndio nini tena?Kama wewe ni kiazi yeye afanyaje? Aya basi wewe ni numbu
Equation x umeona hapauna matatizo ya akili sio bure
Wikiendi mkuu, unanisaidiaje?Haujambo pedeshee
wazee wakongwe wanatifua vinyeo vya wasumbufu ndio dawaEquation x umeona hapa
Ada za wanafunzi zinawavuruga watu, wanafungua lini?Equation x umeona hapa
Trh 08 yani wiki ijayoAda za wanafunzi zinawavuruga watu, wanafungua lini?
Kama una vichwa sita hapo inakuwaje? Umasikini tayari.Trh 08 yani wiki ijayo
Full stress mkuuKama una vichwa sita hapo inakuwaje? Umasikini tayari.
MtieWakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
ndio nini?Mtie
Mtie mtindio nini?
Anajua kabisa naitwa Equation x, kwa nini aniite jina ambalo si langu?Kiazi kwani kiko vipi?