Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,647
- 23,282
una uhakika gani kua mm sio mbavu kama wewe hii ni jf ujueNapajua unapoishi, wewe jiandae kwa kipigo
una uhakika gani kua mm sio mbavu kama wewe hii ni jf ujueNapajua unapoishi, wewe jiandae kwa kipigo
Ngoja nikapate mbili tatu, nipate ujasiri wa kuja kukuwakia hapo mtaaniuna uhakika gani kua mm sio mbavu kama wewe hii ni jf ujue
hakikisha unalewa kabisa, naskiaga hakuna mlevi muogaNgoja nikapate mbili tatu, nipate ujasiri wa kuja kukuwakia hapo mtaani
Wewe mwite muhogo na maisha yaendelee.Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi.
Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
Wewe kiazi mbatata, mviringo au ulaya au vitamu ?Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi.
Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
Mpe kiotaKuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi.
Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
Hata mimi nimeona ni kiazi mbatata tenaMbona kama kiazi kweli
Hahahahaha,pedeshee kiazi malizia hivyoHaujambo pedeshee
Tafuta kiazi mmoja mzurure wote....Wikiendi mkuu, unanisaidiaje?
Sasa,Kwani wewe ni kiazi?Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi.
Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
Uchawi hauvuki mkoa.Mroge
Hata maji pia hauvukiUchawi hauvuki mkoa.
Au goigogoiSi bora kiazi kuliko angekuita Pimbi.
Sawa kiazi 😀Tafuta kiazi mmoja mzurure wote....