Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Ndio maana nimekushangaa mno hadi nikakuuliza milioni 3 kabisa???? Nikajua labda kaka umeshinda Biko kwahiyo unatenda wema 🤣🤣🤣🤣
Ahh wapi, yaani huo mchezo Sina sio leo au kesho.
labda mzazi awe total incapacitated.

Beside suala lako lile la kujutia, liko Lina fanyiwa kazi.
 
Kaka hapo umemalza kila kitu kabisa... Just go ahead I mean Proceed with the Plan!
 
Maisha hayako kwenye matokeo makubwa ya shule
 
Kupanga ni kuchagua shirikishaneni na Mwenza wako mueleweshane pro and cons za kufanya yote hayo; ingawa ni vema mkafanya kile ambacho kipo within your means.., Kwa Serikali ya sasa huo ni msingi tu bado huko mbeleni pia panahitaji pesa ndefu sana, kwahio angalia usije ukajenga msingi wa ghorofa kwa kutumia zege alafu ukamalizia juu kwa nyumba ya tope, wakati huenda ungeweza kuanza na kupaliza kwa kutumia tofari za kuchoma ambazo ni durable sometimes hata zaidi ya simenti.
 
Asante
 
Una watoto?
Vijana wengi huwa mnawaza hivi ila mkipata watoto mnawaza vingine.

Kuna jamaa alikuwa anaponda sana hizi shule za private tena kwa nguvu zote.

Na kutoa maapio hatapeleka mtoto huko.
Amekuja kupata watoto, juzi anauzilia anawezaje kupata nafasi kwenye shule zenye michepuo ya Cambridge. 🤣🤣
 
Hivi Hawa private students wanafanya kazi maofisi yapi jaman, au ndio wafanyabiashara wengi wao ?. Maana walioko huku ofisini ni wakawaida sana uwezo wao.
Unazungumzia Ofisi zipi?
Inawezekana uko kwenye ofisi za kawaida sana pia.
 
Acha Kumsumbua mtoto mwache tu asome kwa raha.
Hivi kwenda shule na fagliò na kudumu unaona kazi ndogo

Mungu akubariki uweke na hisa zake,
Nimepeleka mwanangu private baada ya kuona kile choo cha ile shule ya serikali pale jirani yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…