RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Umeelewaka mkuu.Mnahqngquka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewaka mkuu.Mnahqngquka sana
Kuna wadada/matrons ndani ya school buses..Ems ndio hatari Zaidi kuanzia kwenye gari mtoto wako anaweza kubakwa na dereva wakati wa kupelekwa shule alfajiri.
Sio shule zoteKuna wadada/matrons ndani ya school buses..
As a matter of fact kwanini umpeleke mtoto wako kwenye shule yenye watu usio waamini?Kuna wadada/matrons ndani ya school buses..
Kwenye makelele hakuna concentration na umakini..Children pyschology inasema watoto wana enjoy Zaidi wanapokuwa kwenye kundi la watoto wengi na Sio wachache
100% FactWhy mtt asifanye kazi jamani yaani kidumu na fagio kufagia na kupalilia miti ni adhabu yaani mnapenda watoto wasioweza kuvunja slice ya mkate hata kupaka blue band apakiwe, anafuliwa underwear zake na dada kweli, napenda angalau mtt ajue kutunza bustani ndogo ndogo ya mboga na matunda huku anasoma.
Let us face reality of life, so yaani yeye hagusi kitu ni kusoma tu, chakula analishwa, anafuliwa, chai saa nne analetewa, Kuna mmoja akasoma Tanganyika school international saivi ni it kwa kampuni ya kaka yake , Ila Sasa Yuko hapa hapa bongo , hana la ajabu sana. Let us conclude smt our ego inatu push kufanya maamuzi yaani unataka uonekane wewe ni Bora zaidi ya wengine ni wajinga na maskini, Kila binadamu ana hitaji la kutaka juu ya kuwa mwingine,Ila Kama unataka peleka mwanao USA huko ndiko exposure ilipo jamani Sasa hapa hapa bongo kisa English ya ze ze na wanafundishwa na walimu waliosoma kwa kukariri na wamesoma kayumba Mwanzo mwisho so hapo Kuna exposure Gani kwani. Usafiri wa daladala kweli unasumbua mtt Ila mpe nauli ya mtu mzima akae bila ya kusumbuliwa na konda , unataka utengeneze soft times ambazo zita create soft men ambao hao soft men wata create hard times kweli.
Mbona wewe wageni hauwaruhusu kulala na wanao?? Kwanini unakaribisha watu usiowaamini nyumbani kwako??..As a matter of fact kwanini umpeleke mtoto wako kwenye shule yenye watu usio waamini?
Watoto ndio wanapenda Sasa. Subiri wafike form v ndio wawe makiniKwenye makelele hakuna concentration na umakini..
But I don't pay them money. Wewe Hadi unawalipa hela watu halafu hauwaaminiMbona wewe wageni hauwaruhusu kulala na wanao?? Kwanini unakaribisha watu usiowaamini nyumbani kwako??..
Unawalipa kwa sababu waenda kukutangaza kijijni kwenu kuwa una roho ya ukarimu. Hayo sio malipo??..But I don't pay them money. Wewe Hadi unawalipa hela watu halafu hauwaamini
Mimi kijijini kwetu Chanika Daslamu.Unawalipa kwa sababu waenda kukutangaza kijijni kwenu kuwa una roho ya ukarimu. Hayo sio malipo??..
Kusoma English medium na bata vinahusianaje?Unaweza ukawa na hela hizo hizo hela zikatumika kulemaza wanao Ila wewe unajiona Kama ndio unawalea kwa upendo, kiufupi elea pleasure and pains Zina drive human being.
Sasa mpe Raha baadaye aanze kuuliza lini dingi anakufa nirithi Mali.
Mfano mzuri kwa jk Kuna kijana wake mmoja anayejitambua,kulea watt kibata unaona ndio unawapa Maisha kumbe wao subconsciously wanapanda kitu kinaota kuwa life ni Bata tu, watakuja kugombania nyumba iuzwe hapo kariakoo wagawane Kila mtu achukue chake ama wanaishi kwa kutegemea Kodi ya nyumba ulizoacha, yaani ulivyoacha badala ya kuendelezwa ni kumalizwa.
Kuna wajinga hawawezi kukuelewa, hali yakua wao wamesoma St Kayumba na wanaishi vizuri tu, mtu anapeleka mtoto shule ya kulipia halafu mtoto Mwenyewe anafundishwa na waliosoma st Kayumba.Why mtt asifanye kazi jamani yaani kidumu na fagio kufagia na kupalilia miti ni adhabu yaani mnapenda watoto wasioweza kuvunja slice ya mkate hata kupaka blue band apakiwe, anafuliwa underwear zake na dada kweli, napenda angalau mtt ajue kutunza bustani ndogo ndogo ya mboga na matunda huku anasoma.
Let us face reality of life, so yaani yeye hagusi kitu ni kusoma tu, chakula analishwa, anafuliwa, chai saa nne analetewa, Kuna mmoja akasoma Tanganyika school international saivi ni it kwa kampuni ya kaka yake , Ila Sasa Yuko hapa hapa bongo , hana la ajabu sana. Let us conclude smt our ego inatu push kufanya maamuzi yaani unataka uonekane wewe ni Bora zaidi ya wengine ni wajinga na maskini, Kila binadamu ana hitaji la kutaka juu ya kuwa mwingine,Ila Kama unataka peleka mwanao USA huko ndiko exposure ilipo jamani Sasa hapa hapa bongo kisa English ya ze ze na wanafundishwa na walimu waliosoma kwa kukariri na wamesoma kayumba Mwanzo mwisho so hapo Kuna exposure Gani kwani. Usafiri wa daladala kweli unasumbua mtt Ila mpe nauli ya mtu mzima akae bila ya kusumbuliwa na konda , unataka utengeneze soft times ambazo zita create soft men ambao hao soft men wata create hard times kweli.
Hivi hio products inayofundisha huko Private schools (walimu) mbona wengi wao walisoma Kayumba.Kusoma English medium na bata vinahusianaje?
Hawa wa Private they work more compare na hawa wa public schools.
Ambao walimu hawana hata muda nao.
Hivi Hawa private students wanafanya kazi maofisi yapi jaman, au ndio wafanyabiashara wengi wao ?. Maana walioko huku ofisini ni wakawaida sana uwezo wao.Kusoma English medium na bata vinahusianaje?
Hawa wa Private they work more compare na hawa wa public schools.
Ambao walimu hawana hata muda nao.
Kaka jamani milioni 3 😀😀😀😀Huyu Jamaa ni kizazi, na ange kuwa karibu yangu ninge mchapa Kofi.
public school nazi heshimu, ila kwakweli hapana kabisa.
ni vile tu Sija oa, ila ninge mchukua aje huku niliko.
ada ni 3m na safari hii nime lipa Mimi, na still naona kawaida mno kwa anacho jifunza huko.
Inaleta sense!Hakikisha mwanao anasoma chekechea nzuri sana. Hata kama primary atasoma Kayumba..
Wataalamu wa utoto, 'early childhood' wanasema tafiti zinaonesha experiences za miaka 6 ya mwanzo humuathiri mtu maisha yake yote.
Hapo ndipo mtoto hujenga Ile sehemu ya character yake inayoinfluensiwa na mazingira.