Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Hivi hio products inayofundisha huko Private schools (walimu) mbona wengi wao walisoma Kayumba.

Mtu anapeleka mtoto nursery analipa mil 1.5 haliyakua hapo nursery anafundishwa na mwalimu aliepata div 4 ya 32 form four. Hivi kweli inaangia akilini?.

Kama ingekua shule za vipaji maalumu nihalali mtoto umlipie hiyo ada, mfano mtoto anasoma huku anaendeleza kipaji chake kama mpira, volleyball, ngumi n.k yaan mtoto anasoma kuendeleza talent yake huyo unaweza mlipia. Lakini sio kuhesabu eti one mpaka twenty kwa kingereza ndio umlipie pesa zote hizo.
Fact
 
Kama unaweza lipa Ada hiyo na shemeji anaamini unaimudu ni wazi hautaweza kukosa 50% ya kiasi hicho kumuwekea huko kwa kuwekeza... Lakini Kama kichwa kinauma na bado umeshika calculator walizoziachia wananchi juu ya Ada hiyo ni wazi inabidi kuipeleka UTT na mtoto aende shule ya kata.
 
S
Kusoma English medium na bata vinahusianaje?

Hawa wa Private they work more compare na hawa wa public schools.
Ambao walimu hawana hata muda nao.
Sijakataa , private schools walimu Wana bidii kuliko wanafunzi Ila serikali wanafunzi Wana bidii kuliko walimu yaani Iko vice versa. Mie topic ya water mwalimu aliingia darasani akauliza kuwa Kuna nani hayajui maji, darasa kimya, Kuna mtu hajui maji Yana rangi ama harufu Gani , tukawa kimya mwalimu akasema kuwa topic imeisha iyo. N kweli ikaisha mtihani ukaja na tunafaulu mno.
Mie nachoomba mwanangu awe na bidii ,kiu,ari ,shauku etc ya kusoma basi. Mie nakumbuka nimeokota sh 500 zamani nikanunua kitabu, mwingine anaenda kununua soda ama kuchezea game yaani ukiwa na mtt akawa anatambua jambo Bora kwangu ni greatest gift pia na kwake
 
Mpeleke shule ya serikali. Hiyo hela fanya savings kwaajili yake
 
M
Hivi hio products inayofundisha huko Private schools (walimu) mbona wengi wao walisoma Kayumba.

Mtu anapeleka mtoto nursery analipa mil 1.5 haliyakua hapo nursery anafundishwa na mwalimu aliepata div 4 ya 32 form four. Hivi kweli inaangia akilini?.

Kama ingekua shule za vipaji maalumu nihalali mtoto umlipie hiyo ada, mfano mtoto anasoma huku anaendeleza kipaji chake kama mpira, volleyball, ngumi n.k yaan mtoto anasoma kuendeleza talent yake huyo unaweza mlipia. Lakini sio kuhesabu eti one mpaka twenty kwa kingereza ndio umlipie pesa zote hizo.
Mie wanangu nakomaa nao English nyumbani na wanaongea fresh na wako kayumba, yaani English is over estimated wakati ni sawa watt wanakuwa wanakuta naongea kikurya sana na wife so watt nao wataijua iyo lugha so namie wanakuta nawaongelesha English wanaelewa mbona
 
1. Kwanza tafakari mtoto wako unataka apate Elimu ya aina gani
Mfano: Shule inayoweza mjenga kujiamini, fikra huru, kusaidia jamii etc
NB: Kusoma kwa mateso sio kipimo kizuri, anaweza kujifunza uvumilivu kupitia mateso lakini hakakosa soft skills nyingine muhimu, inabidi kuwe na balance

2. Je shule gani zinakidhi vigezo vya elimu anavyotaka kupata mtoto wako (rejea no 1)

3. Fanya ulinganisho wa ada, na ubora wa shule zilizokidhi vigezo vyako

Unaweza ukajikuta shule inayokidhi vigezo, ni gharama nafuu, na pia ukaweza pata salio la kuwekeza pia.
 
Si umesema unaweza kumlipia ada mtoa mada hapo juu au sio wewe?? Au ndio ile JF kila mtu ana hela anaweza kumsaidia mwenzie wakati in reality unaweza kuta hata kula hajala??
nime mlipia mdogo wangu, elewa nilipo sema ni vile sija oa. Ninge mchukua aje kukaa kwangu.
 
Haya kaka lakini pale hukusema mdogo wako ndio maana nikashangaa umlipie mtoto watoa mada milioni 3 hee....btw mdogo wako atakuwa proud sana na wewe akikua bro keep on doing good job.

Huyu Jamaa ni kizazi, na ange kuwa karibu yangu ninge mchapa Kofi.

public school nazi heshimu, ila kwakweli hapana kabisa.

ni vile tu Sija oa, ila ninge mchukua aje huku niliko.
ada ni 3m na safari hii nime lipa Mimi, na still naona kawaida mno kwa anacho jifunza huko.
trudie Soma kuanzia ni vile sija oa, na Safari hii nime lipa Mimi. Maana naona kawaida kwa anacho jifunza huko
 
trudie Soma kuanzia ni vile sija oa, na Safari hii nime lipa Mimi. Maana naona kawaida kwa anacho jifunza huko
Nmesoma bro lakini still narudi pale pale umesema ungemchukua ila hujasema ni nani thats why nikaunganisha tunayemuongelea ni mtoto wa mtoa mada. I thought ndio mhusika unayemuongelea and may be ni lugha gongana pia.
 
Mimi nimchukue mtoto wa mzazi aliye hai??, big nope.
 
Back
Top Bottom