Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Kwa hiyo kama majibu unayo umekuja kutusanifu hapa?Hata kama namudu, Naona pia mtoto kusoma shule za serikali anakuwa na experience na real world zaidi kuliko kusoma za private
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama majibu unayo umekuja kutusanifu hapa?Hata kama namudu, Naona pia mtoto kusoma shule za serikali anakuwa na experience na real world zaidi kuliko kusoma za private
Hakika.Hakuna real world kwenye umaskini , nimesoma hizo shule A level nazijua
Aisee...! Mbona JF ina mbumbumbu wengi hivi? Mimi kazi yangu inaniingizia kipato cha zaidi ya milioni 30 kwa mwaka, kwa umri nilio nao na nikilinganisha na watanzania wengine ni kipato kikubwa, ila sipo hapa kujitambia utajiri, na sichukulii poa najua naweza kufilisika au kupata zaidi, wapo watanzania wengi ambao hata kushika hata laki 5 kwa mkupuo mmoja ni ndoto, ni umbumbumbu mkubwa sana kudharau hela kisa wewe unazoConnection kwenye biashara zako zinazokufanya uwaze sana hata kulipa Tsh 1.5m ya ada ni connection ya kwenye umaskini wako. Jifunze kujiambia ukweli kuwa kipato chako ni duni na huna uwezo wa kulipa Tsh 1.5m ada. Hii itasaidia kutojaza server za JF kwa uzi mrefu.
Kwa walio wengi wanaosomesha watoto wao shule za Kayumba ni kutokana na uchumi wao kutetereka. Si kwamba wanapenda. Ila katika kujifariji ndipo utawakuta wakiibuka na hoja ya kuzisifia wakati hata matokeo ya kitaifa ya kila mwaka na kila level yanathibitisha shule hizo kutokuwa na ubora wowote.Hakuna real world kwenye umaskini , nimesoma hizo shule A level nazijua
Mkuu tusake pesa tu ,hakuna haja ya kuupamba umaskiniHakika.
Mzazi asitegemee eti mtoto atapata experience na real world akiwa kayumba asilimia kubwa anaweza kuharibika akawa hana maadili.
Wazazi wasikwepe jukumu la kuwalea watoto wao, wawafundishe watoto wao elimu ya kujitambua ( self-education).
Umeomba ushauri halafu unakaripia waliokushauri!!Hapa hatupo kutambiana uwezo, watanzania wengi hawana hata uwezo wa kumiliki milioni 1 kwa mkupuo mmoja, kudharau milioni 1.5 ni ushamba na ulimbukeni mkubwa
Na kama una uelewa mzuri, sikulalamika ada kuwa kubwa, nimeukiza kuhusu trade offs na pia kumjenga mtoto mentally sijui kama unaelewa
Hakuna mwanangu atasoma shule ya kijinga kama hizo kwa sababu nazijua .Kwa walio wengi wanaosomesha watoto wao shule za Kayumba ni kutokana na uchumi wao kutetereka. Si kwamba wanapenda. Ila katika kujifariji ndipo utawakuta wakiibuka na hoja ya kuzisifia wakati hata matokeo ya kitaifa ya kila mwaka na kila level yanathibitisha shule hizo kutokuwa na ubora wowote.
Mkuu tusake pesa tu ,hakuna haja ya kuupamba umaskini
Hakika.
Mzazi asitegemee eti mtot
Nawakaripia kutokana na kuja kifedhuli, kuna wanaojadili vizuri, nawajibu vizuri, wengine siwajibuUmeomba ushauri halafu unakaripia waliokushauri!!
Mtoto kujengwa kiakili anajengwa na familia yake, sio mwalimu.
Malezi hayana formula.
Mtoto ni wa baba na mama.
Baba na mama ndiyo wenye uwezo mkubwa sana na wa pekee wa kumjenga mtoto.
Hakuna mlinganisho utakaokuwa bora kati ya malezi ya leo ya mtoto na kesho yake kiuwekezaji/kibiashara.
Maisha ni leo,ishi leo, mtoto ni wako,uamuzi ni wako wa jinsi ya kumlea mtoto wako na jinsi ya kushape aendane na ulimwengu pamoja na kesho yake.
Kwa hiyo kama majibu unayo umekuja kutusanifu hapa?
Utaona tu mkuu, kama hautaki umaskini utakuona wewe😆They have eyes but they don't see.
Experience na real world kivipi kwani huko shule za Kayumba ndio wanafundisha life skills? Invest kwenye Elimu ya mwanao…Hata kama namudu, Naona pia mtoto kusoma shule za serikali anakuwa na experience na real world zaidi kuliko kusoma za private
Naomba nionyeshe ufedhuli wangu kwenye maandishi yangu ili nijifunze kesho nisirudie tena,tafadhali.Nawakaripia kutokana na kuja kifedhuli, kuna wanaojadili vizuri, nawajibu vizuri, wengine siwajibu
Wewe bado ni fukara. Tsh 30m kwa mwaka bado ni kidogo. Wastani wa Tsh 2.5m kwa mwezi. Jipange angalau ufikie 5m kwa mwezi.Aisee...! Mbona JF ina mbumbumbu wengi hivi? Mimi kazi yangu inaniingizia zaidi kipato cha zaidi ya milioni 30 kwa mwaka, kwa umri nilio nao na nikilinganisha na watanzania wengine ni kipato kikubwa, ila sipo hapa kujitambia utajiri, na sichukulii poa najua naweza kufilisika au kupata zaidi, wapo watanzania wengi ambao hata kushika hata laki 5 kwa mkupuo mmoja ni ndoto, ni umbumbumbu mkubwa sana kudharau hela kisa wewe unazo
Na hapa topic haijalalamikia ukubwa wa ada bali ni trade offs
Usibishane na mtu aliyekosa ada ya kumsomesha mwanae shule nzuri🤣🤣.Naomba nionyeshe ufedhuli wangu kwenye maandishi yangu ili nijifunze kesho nisirudie tena,tafadhali.
Mtoto wa Kayumba ana shepiwa vizuri kuliko mtoto wa Feza?Mimi mwanangu kwa asilimia kubwa nataka aje kujiajiri, tena ajira niliyopo mimi...malezi ya mtoto aliyopitia yanam shape sana jinsi atakavyomudu maisha yake, japo hii ni mada nyingine
Jamaa ni fukara mwenye stress. Hajikubali kabisa kwa hali yake. Anajitutumua lakini katikati ya maandishi yake tunaona LIVE kilio cha mtu mzima.Anaomba ushauri halafu tukimshauri anatukaripia.
Elimu
Elimu
Elimu.
Kama elimu ni ghali, ajaribu ujinga basi.
Watu wanatumia kipimo cha kushindwa kwa wazazi na kizazi chao kupimia wengne.1.7M*8 = 13.6M primary hiyo
4M*6 = 24M secondary hiyo
37.6M unampa afanye biashara,
ni vizuri sana