LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
FactUharibifu wa pesa chekechea mnalipa ada kubwa yote iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactUharibifu wa pesa chekechea mnalipa ada kubwa yote iyo
100% FactElimu sio ghali bana ni namna ya ku manipulate watu watoe hela kwa wajanja wachache,mbona maarifa yapo free hata YouTube unaweza unakomaa tu ukajua how to invest/trade stocks market na ukawa successful.
Gharama ilipo ni wewe kujitoa kuisaka elimu,mie nimesoma nimemaliza bachelor ya Engineering sijatumia hata 1M from std wani mpaka chuo, na nimesoma na nje pia Russia na udsm coet , yaani sijatumia milioni na pia nimesoma boarding miaka sita nimetoka na divisheni wani pote ,nimesoma tabora boys and ilboru.
Nje huko nasoma kwa hela za Russia and Tanzania, mie sijaona hizo Gharama mie ishu ilikuwa kusoma na kufaulu tu mbona. Watu wanakuza elimu bana kuwa ni gharama hakuna cha gharama sema ni Ile ya binadamu ya kutaka kutukuzwa kuwa yeye yu mjanja aka ego inamu drive Ila hakuna kitu.watu wanasoma online wanapata degree zao. Yaani ukiwa na hamu Kali yaani Ile kiu ya kutaka kusoma unasoma bana mbona.
Bado unajitafuta wewe, ad upewe maoni Tena mwanaume mzima khooo*!Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za private na wanaongea kiingereza kingi wakiwa na umri mdogo na pia anasema mtoto tukimpeleka shule za serikali atateseka6
Sasa nimefikiria, kumpeleka mtoto hadi amalize shule ya msingi, then sekondari, je hizo pesa za ada badala ya kumlipia shule ya private nikamhamishia serikalini ambako hata hivyo atakua ananuliwa vitabu na materials nyingine , halafu hiyo ada ya private nikawa naiwekeza kwenye mfuko wa UTT au kununua hisa za kampuni inayofanya vizuri tu kila mwaka, au kuiwekeza kwenyw kununua ardhi
Baaadae mtoto akiwa na miaka 20 ama 25 huko atakuwa na mtaji wa kuanzia maisha halafu connection nitampa mimi kwenye biashara zangu
Pia nimefikiria kumpeleka mtoto shule za kawaida kutamjenga awe 'mgumu' awe na kuweza kumudu mazingira halisi ya mtaano baada ya kumaliza masomo, kuliko mazingira ya kupelekwa na kurudishwa na school bus ambayo hayamjengi
Mimi mwenyewe ni msomi mwenye degree, lakini kazi ninyoifanya haihusiani kabisa na elimu yangu, na ilinibidi ni adapt mtaani japo kwa maumivu na hofu yangu ni kuwa mwanangu naweza kumsomesha kwa gharama kubwa halafu elimu isimsaidie kwenye maisha kama mimi, na akawa hana hata skills za kutoboa mtaani, mimi kutokusoma hizo shule za gharama naamimi kumenisaidia kidogo
Dunia inabadilika, wasomi wengi mtaani kazi hakuna na mbaya zaidi kazi nyingi zitaenda kuwa automated miaka ijayo,
Wana ishi maisha ya kujioneshaFact
Sure they are weak insideWana ishi maisha ya kujionesha
Acha ubahili mpeleke mtoto shule ya pesa
Duh so to u " Education is better than money?"Mpeleke shule boss. Elimu ndio urithi usioweza kuharibiwa na yeyote. Hela ni makaratasi.
Kama urithi wa pesa utakushinda kumuachi mtoto basi acha urithi wa elimu nzuri au jina kama ww ni mtu maarufuWakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za private na wanaongea kiingereza kingi wakiwa na umri mdogo na pia anasema mtoto tukimpeleka shule za serikali atateseka6
Sasa nimefikiria, kumpeleka mtoto hadi amalize shule ya msingi, then sekondari, je hizo pesa za ada badala ya kumlipia shule ya private nikamhamishia serikalini ambako hata hivyo atakua ananuliwa vitabu na materials nyingine , halafu hiyo ada ya private nikawa naiwekeza kwenye mfuko wa UTT au kununua hisa za kampuni inayofanya vizuri tu kila mwaka, au kuiwekeza kwenyw kununua ardhi
Baaadae mtoto akiwa na miaka 20 ama 25 huko atakuwa na mtaji wa kuanzia maisha halafu connection nitampa mimi kwenye biashara zangu
Pia nimefikiria kumpeleka mtoto shule za kawaida kutamjenga awe 'mgumu' awe na kuweza kumudu mazingira halisi ya mtaano baada ya kumaliza masomo, kuliko mazingira ya kupelekwa na kurudishwa na school bus ambayo hayamjengi
Mimi mwenyewe ni msomi mwenye degree, lakini kazi ninyoifanya haihusiani kabisa na elimu yangu, na ilinibidi ni adapt mtaani japo kwa maumivu na hofu yangu ni kuwa mwanangu naweza kumsomesha kwa gharama kubwa halafu elimu isimsaidie kwenye maisha kama mimi, na akawa hana hata skills za kutoboa mtaani, mimi kutokusoma hizo shule za gharama naamimi kumenisaidia kidogo
Dunia inabadilika, wasomi wengi mtaani kazi hakuna na mbaya zaidi kazi nyingi zitaenda kuwa automated miaka ijayo,
Hakuna mbadala wa elimu nzuri, period, kayumba ni upuuzi, tu, taja waziri anayesomesha mtoto kayumba! Hata, waziri wa elimu, hapeleki mtoto kayumba,Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za private na wanaongea kiingereza kingi wakiwa na umri mdogo na pia anasema mtoto tukimpeleka shule za serikali atateseka6
Sasa nimefikiria, kumpeleka mtoto hadi amalize shule ya msingi, then sekondari, je hizo pesa za ada badala ya kumlipia shule ya private nikamhamishia serikalini ambako hata hivyo atakua ananuliwa vitabu na materials nyingine , halafu hiyo ada ya private nikawa naiwekeza kwenye mfuko wa UTT au kununua hisa za kampuni inayofanya vizuri tu kila mwaka, au kuiwekeza kwenyw kununua ardhi
Baaadae mtoto akiwa na miaka 20 ama 25 huko atakuwa na mtaji wa kuanzia maisha halafu connection nitampa mimi kwenye biashara zangu
Pia nimefikiria kumpeleka mtoto shule za kawaida kutamjenga awe 'mgumu' awe na kuweza kumudu mazingira halisi ya mtaano baada ya kumaliza masomo, kuliko mazingira ya kupelekwa na kurudishwa na school bus ambayo hayamjengi
Mimi mwenyewe ni msomi mwenye degree, lakini kazi ninyoifanya haihusiani kabisa na elimu yangu, na ilinibidi ni adapt mtaani japo kwa maumivu na hofu yangu ni kuwa mwanangu naweza kumsomesha kwa gharama kubwa halafu elimu isimsaidie kwenye maisha kama mimi, na akawa hana hata skills za kutoboa mtaani, mimi kutokusoma hizo shule za gharama naamimi kumenisaidia kidogo
Dunia inabadilika, wasomi wengi mtaani kazi hakuna na mbaya zaidi kazi nyingi zitaenda kuwa automated miaka ijayo,
Fact ni ujinga kulipia mamilioni English Medium mtaala wa Necta wakati shule za serikali wanafundisha buremkuu utaishia kizidi kuwa maskini na majuto mbeleni na tatizo ni hapo uliposema eti "mama wa mtoto yaani mkeo ndio anakung'ang'aniza ww mumpeleke mtoto huko english medium kisa kaona mashoga zake na marafiki na anaowajua wamepeleka watoto wao huko basi ndio analazimisha na nyinyi mfate mkumbo je,kiuchumi mnalingana na hao mnaojilingisha nao.? kwenye matumizi ya pesa wanawake hawanaga huruma na mkeo ni aina ya wale wanaotamani maisha ya wengine na kama ilivyo hulka za wanawake wao wanapenda kushindana na kuonyeshana ufahari nakutaka sifa tu na kujlinganisha au kutamani maisha ya walio wazidi na ww mume usipokuwa mkali mwenye misimamo utaumia..acha huo ujinga wa kulinganishwa kipato chako kiuchumi na wengine eti flani kafanya vile nasi tufanye au flani kampeleka mtoto wake english medium na sie tumpeleke ni umaskini wa kujitakia huo ishi mwisho uwezo wako na si kumfurahisha mke kwa gharama ya maumivu yako..kama ww huna uwezo wa hizo shule private una hela za mawazo sijui unabangaiza basi acha ujinga akiforce alipe ada yeye au mchangie nusu kw nusu
Sijazungumzia money. Nmezungumzia urithi. Huyo ni mzazi akimwachia mtoto elimu bora hata asipo mpa pesa huyo mtoto ata survive.Do so to u " Education is better than money?"
Kama ni hivyo then kwanini shule za EMs hawawapokei watoto wenu hadi mlipe hela?
Because to them money is better than education.
As a matter of fact kwani Kayumba watoto hawasomi?
Elimu nzuri ni Nini?Hakuna mbadala wa elimu nzuri, period, kayumba ni upuuzi, tu, taja waziri anayesomesha mtoto kayumba! Hata, waziri wa elimu, hapeleki mtoto kayumba,
Elimu bora ni nini?Sijazungumzia money. Nmezungumzia urithi. Huyo ni mzazi akimwachia mtoto elimu bora hata asipo mpa pesa huyo mtoto ata survive.
Hiyo ya kuchagua pesa anatakiwa kuchagua mtoto mwenyewe akiwa na uwezo wa kufanya choice lakini sio mzazi.
Mungu alivyo wa ajabu. Unamtoa mtoto Ems ili kuokoa ada iende UTT unaanza kupata pesa zinazotoshea kununua uniform na daftari za Kayumba. Zile ulizodhani zitakuwa za saving zinapotea kabisa. Acha mtoto shule mengine yatajipa mbele. Huenda mzazi wako asingekupeleka usingepata nguvu ya kupambana mtaani kila siku ungekuwa unamlaumu amechangia kufeli kwa maisha yako. Lakini kwa sasa huna cha kumlaumu umebaki na maisha yako.Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za private na wanaongea kiingereza kingi wakiwa na umri mdogo na pia anasema mtoto tukimpeleka shule za serikali atateseka6
Sasa nimefikiria, kumpeleka mtoto hadi amalize shule ya msingi, then sekondari, je hizo pesa za ada badala ya kumlipia shule ya private nikamhamishia serikalini ambako hata hivyo atakua ananuliwa vitabu na materials nyingine , halafu hiyo ada ya private nikawa naiwekeza kwenye mfuko wa UTT au kununua hisa za kampuni inayofanya vizuri tu kila mwaka, au kuiwekeza kwenyw kununua ardhi
Baaadae mtoto akiwa na miaka 20 ama 25 huko atakuwa na mtaji wa kuanzia maisha halafu connection nitampa mimi kwenye biashara zangu
Pia nimefikiria kumpeleka mtoto shule za kawaida kutamjenga awe 'mgumu' awe na kuweza kumudu mazingira halisi ya mtaano baada ya kumaliza masomo, kuliko mazingira ya kupelekwa na kurudishwa na school bus ambayo hayamjengi
Mimi mwenyewe ni msomi mwenye degree, lakini kazi ninyoifanya haihusiani kabisa na elimu yangu, na ilinibidi ni adapt mtaani japo kwa maumivu na hofu yangu ni kuwa mwanangu naweza kumsomesha kwa gharama kubwa halafu elimu isimsaidie kwenye maisha kama mimi, na akawa hana hata skills za kutoboa mtaani, mimi kutokusoma hizo shule za gharama naamimi kumenisaidia kidogo
Dunia inabadilika, wasomi wengi mtaani kazi hakuna na mbaya zaidi kazi nyingi zitaenda kuwa automated miaka ijayo,
Kupanga ni kuchagua kama lengo ni kuwa na msingi mzuri hasa WA Kiingereza mpeleke...Kama unaona Kayumba kuzuri Sawa pia... Yaani nachojaribu kukuonyesha hapa Jenga picha ya faida na hasara za Kila upande ..Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7