Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Hakuna real world kwenye umaskini , nimesoma hizo shule A level nazijua
Hakika.
Mzazi asitegemee eti mtoto atapata experience na real world akiwa kayumba,asilimia kubwa anaweza kuharibika akawa hana maadili.

Wazazi wasikwepe jukumu la kuwalea watoto wao, wawafundishe watoto wao elimu ya kujitambua ( self-education).
 
Aisee...! Mbona JF ina mbumbumbu wengi hivi? Mimi kazi yangu inaniingizia kipato cha zaidi ya milioni 30 kwa mwaka, kwa umri nilio nao na nikilinganisha na watanzania wengine ni kipato kikubwa, ila sipo hapa kujitambia utajiri, na sichukulii poa najua naweza kufilisika au kupata zaidi, wapo watanzania wengi ambao hata kushika hata laki 5 kwa mkupuo mmoja ni ndoto, ni umbumbumbu mkubwa sana kudharau hela kisa wewe unazo
Na hapa topic haijalalamikia ukubwa wa ada bali ni trade offs
 
Hakuna real world kwenye umaskini , nimesoma hizo shule A level nazijua
Kwa walio wengi wanaosomesha watoto wao shule za Kayumba ni kutokana na uchumi wao kutetereka. Si kwamba wanapenda. Ila katika kujifariji ndipo utawakuta wakiibuka na hoja ya kuzisifia wakati hata matokeo ya kitaifa ya kila mwaka na kila level yanathibitisha shule hizo kutokuwa na ubora wowote.
 
Umeomba ushauri halafu unakaripia waliokushauri!!

Mtoto kujengwa kiakili anajengwa na familia yake, sio mwalimu.

Malezi hayana formula.
Mtoto ni wa baba na mama.
Baba na mama ndiyo wenye uwezo mkubwa sana na wa pekee wa kumjenga mtoto.

Hakuna mlinganisho utakaokuwa bora kati ya malezi ya leo ya mtoto na kesho yake kiuwekezaji/kibiashara.

Maisha ni leo,ishi leo, mtoto ni wako,uamuzi ni wako wa jinsi ya kumlea mtoto wako na jinsi ya kushape aendane na ulimwengu pamoja na kesho yake.
 
Hakuna mwanangu atasoma shule ya kijinga kama hizo kwa sababu nazijua .
 
Hakika.
Mzazi asitegemee eti mtot

Nawakaripia kutokana na kuja kifedhuli, kuna wanaojadili vizuri, nawajibu vizuri, wengine siwajibu
 
Wewe bado ni fukara. Tsh 30m kwa mwaka bado ni kidogo. Wastani wa Tsh 2.5m kwa mwezi. Jipange angalau ufikie 5m kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…