Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori za vijiweni hizi ,hazina ukweli wowote[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Wasalaamu!
Nina wachumba wanne tofauti Na nipo katika hatua za mwishoni kufunga ndoa January.
Sasa Nina wachumba wanne ambao wote waliomba niwaone nami nikawaahidi kuwaoa!
Lengo ninaogopa kukosea sana maana sitaki kuoa Na kuacha!
Wanawake wenyewe Na sifa zao ni hizi nisaidieni kubaini mke mwema!
Wa kwanza!
Ni mtoto Wa kinyarwanda miaka 20.
Ana umbile namba 8,elimu cheti cha maendeleo ya jamii.mpole ila hapendi utani utani,in short very serious!
Anapenda dini ila ana amri amri tu,hupenda kwenda kanisani tu ambako ni mwana kwaya,ananishauri niache u DJ eti sio kazi! Nitafute kazi.
Wa pili ni mwarabu nusu mixture,ana bonge la shepu,chura ya kufa mtu,ila anapenda chapaa sana,yani akija ghetto lazima aondoke Na misimbazi!
Nilimbikiri mm mwenyewe akiwa Na miaka 18,anasema ataniroga ikiwa nitaoa mwingine!
Pia huniagiza vitu vidogo vidogo sokoni naona kero!
Wa tatu ni dada mmoja mnyaturu Wa singida nilizaa nae mtoto nikiwa chuo!
Huyu niliwahi kudaka mawasiliano yenye utata ktk simu yake nikapiga chini ila mtoto namuhudumia 100%.
Yeye ni nesi.
Wa NNE ni single mother, ana miaka 25 nilikutana naye club ana degree Na anafanya kazi NSSF,ametokea kunipenda sana Na nikimwambia naona mwingine anaweza akazimia!
Ushauri wakuu.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana sio sabab ya NSSF ila nmefany uchambuz mkuu.Mkuu umependa NSSF?