Nimpende Na kumuoa nani!

Nimpende Na kumuoa nani!

Hapo kazi ipo...uende rwanda au uarabuni au kwa singo maza...BTW mkuu si ulisema unaoa Rwanda?
 
Wasalaamu!
Nina wachumba wanne tofauti Na nipo katika hatua za mwishoni kufunga ndoa January.

Sasa Nina wachumba wanne ambao wote waliomba niwaone nami nikawaahidi kuwaoa!

Lengo ninaogopa kukosea sana maana sitaki kuoa Na kuacha!
Wanawake wenyewe Na sifa zao ni hizi nisaidieni kubaini mke mwema!

Wa kwanza!
Ni mtoto Wa kinyarwanda miaka 20.
Ana umbile namba 8,elimu cheti cha maendeleo ya jamii.mpole ila hapendi utani utani,in short very serious!
Anapenda dini ila ana amri amri tu,hupenda kwenda kanisani tu ambako ni mwana kwaya,ananishauri niache u DJ eti sio kazi! Nitafute kazi.

Wa pili ni mwarabu nusu mixture,ana bonge la shepu,chura ya kufa mtu,ila anapenda chapaa sana,yani akija ghetto lazima aondoke Na misimbazi!
Nilimbikiri mm mwenyewe akiwa Na miaka 18,anasema ataniroga ikiwa nitaoa mwingine!
Pia huniagiza vitu vidogo vidogo sokoni naona kero!

Wa tatu ni dada mmoja mnyaturu Wa singida nilizaa nae mtoto nikiwa chuo!
Huyu niliwahi kudaka mawasiliano yenye utata ktk simu yake nikapiga chini ila mtoto namuhudumia 100%.
Yeye ni nesi.

Wa NNE ni single mother, ana miaka 25 nilikutana naye club ana degree Na anafanya kazi NSSF,ametokea kunipenda sana Na nikimwambia naona mwingine anaweza akazimia!

Ushauri wakuu.
Stori za vijiweni hizi ,hazina ukweli wowote[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Mkuu umependa NSSF?
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana sio sabab ya NSSF ila nmefany uchambuz mkuu.

Wa kwanz Ana visheria
Wa pili mamb ya kurogana duuuh!
Wa tatu sio mwaminifu ulinasa txt
Wa nne anakuelewa sana

Who said you can't find love in the club....you got a new flame

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom