Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

For sure humu Kuna wanaume wazuri,smart
Wa ovyo piawapo
Kwa Mimi nina ushuhuda Kuna rafikyng anaona next month na bint wa humu humu mahusiano hayajuchukua hata mwaka

Sali sana my dear mapenzi ni ya walioshiba 😀😀
Mungu ambahatishie...sikuhizi kupata ndoa si ushindi....kuitunza mpenzi....
 
Kukutana na Aaliyyah sio kama unaenda kukutana na Mwavita Chupikubwa huyo mtoto ni next level unaweza enda na boda boda yako mkapoteana aibu si aibu fedheha si fedheha
Aiseee halafu msala wa Boda ukabaki nao mwenyewe, Kusema kweli Aaliyyah hata ile kwa kufanya imagination unagundua kwamba huyu ni Mzuri sana Kimuonekano hata kiroho...
Aaliyyah nakupa maua yako
 
Wakati wa Mungu ni sahih, utafiki naamini. Kimsing tusubirie. Mimi pia nipo kwenye hali kama ya kwako
 
Sheikh anaandikaga tu humu mambo ya -OH lakini sidhani kama anaonja
Afadhali maana Wapemba hawanaga vichwa vya vilevi wakionja birauli tu unaweza dhani wamekunywa pipa la vodka.Such a disaster hizo vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…