Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Nishauri nimpende nani??? Maana sina mtu wa kumpenda. Kiukweli, sijui nimpenda nani, maana nikimpata mtu na kuwa serious naye, huyo anakuwa haeleweki.

Situngi wala siungiwi, nasiact kweli. Miaka inakwenda, sijui naelekea wapi. Ukiwa serious, yeye hayupo serious, akiwa serious wewe haupo serious kwa sababu umeshampata mwingine ambaye hayupo serious.

Kingine, unakuwa single maana hujielewi na hueleweki.

Mchumba wako anamnunulia mke wa mtu mahitaji yote na anakuambia hana hela kweli. Ila kisa haupo karibu, huyo mtu anamilikiwa na wake za watu. Dah, si unajiweka kati.

Humu kwa wanaume ni ndoto kabisa, ndoto za mchana. Hakuna mwanaume yule ambaye yupo serious kuoa. Wengi wameoa. Ukija na bando lako, unakuwa unapoteza muda, kwanza haji wa ndoto zako wanatokea ndoto za wengine. Dah, huku inahitaji moyo.

Sasa ni bora uhamie Uganda au pengine ubadilishe hali ya hewa.
 
For sure humu Kuna wanaume wazuri, smart
Wa ovyo pia wapo

Kwa Mimi nina ushuhuda Kuna rafikyng anaona next month na bint wa humu humu mahusiano hayajuchukua hata mwaka

Sali sana my dear mapenzi ni ya walioshiba 😀😀
 
20240712_091014.jpg
 
How comes mwanamke asipate mwanaume wa kuishi naye. Hivi unashindwa kuanziasha urafiki na boy yoyote then msomane kwa kipindi Fulani then mkazama into serious relationship? Nimejifunza kitu kizuri kinaanza kwa kukitengeneza wewe mwenyewe achana na wanaume wa watu walio tengenezwa watakupa stress tu. Mwisho ukimpata muheshimu na mlinde kama ruba, mapungufu yake yabebe huku ukiendelea kumtengeneza. Pia mshirikishe Mungu kila hatua..... Kila la heri
 
Back
Top Bottom