SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nishauri nimpende nani??? Maana sina mtu wa kumpenda. Kiukweli, sijui nimpenda nani, maana nikimpata mtu na kuwa serious naye, huyo anakuwa haeleweki.
Situngi wala siungiwi, nasiact kweli. Miaka inakwenda, sijui naelekea wapi. Ukiwa serious, yeye hayupo serious, akiwa serious wewe haupo serious kwa sababu umeshampata mwingine ambaye hayupo serious.
Kingine, unakuwa single maana hujielewi na hueleweki.
Mchumba wako anamnunulia mke wa mtu mahitaji yote na anakuambia hana hela kweli. Ila kisa haupo karibu, huyo mtu anamilikiwa na wake za watu. Dah, si unajiweka kati.
Humu kwa wanaume ni ndoto kabisa, ndoto za mchana. Hakuna mwanaume yule ambaye yupo serious kuoa. Wengi wameoa. Ukija na bando lako, unakuwa unapoteza muda, kwanza haji wa ndoto zako wanatokea ndoto za wengine. Dah, huku inahitaji moyo.
Sasa ni bora uhamie Uganda au pengine ubadilishe hali ya hewa.