Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

Nishaurini nimpende nani???
Maana mie sina wakumpenda .kiukweli sijui wakumpenda maana nikimpata mtu ukawa serious naye huyo sijui anakuwa haeleweki.

Situngi ,walA situngiwi nasiact really. Miaka nenda miaka rudi sijui naelekea wapi maana ukiwa serious yeye hayupo serious akiwa serious nawewe haupo serious kwa sababu umeshampata mwingine ambaye hayupo serious.

Kingine unakuwa single maana hujielewi ?? Na hueleweki.

Mtu mchumba wako anamnunulia mke wa mtu mahitaji yote na anakuambia mie sina hela kweli. Ila kisa haupo karibu ya huyo mtu anamilikiwa nawake za watu. Dah siunajiweka kati .

Humu kwa wanaume ni ndoto, kabisaaaa ndoto za mchana humu hakuna mwanaume yule ambaye yupo serious kuoa. Wengi wameoa. Wewe ukija na bando lako ni sawa una poteza muda kwanza haji wa ndoto zako wanatokea wandoto za wengineDah huku inahitaji moyo .

Saivi ni bora uhamie Uganda au pengine ubadilishe hali ya hewa.
Wanaume wanaopatikana humu ndio hao hao unakutana nao huko mtaani kwako, usitafute wa kukupenda bali unayempenda wewe, upendo ni gharama na ili ufanikiwe lazima ukubali kubeba hizo gharama, sasa wewe unataka kupenda ila gharama za upendo unataka azibebe unayempenda ushasikia wapi ikafanya kazi hii? Upendo ni gharama weka hilo kichwani mwako
 
Wanaume wanaopatikana humu ndio hao hao unakutana nao huko mtaani kwako, usitafute wa kukupenda bali unayempenda wewe, upendo ni gharama na ili ufanikiwe lazima ukubali kubeba hizo gharama, sasa wewe unataka kupenda ila gharama za upendo unataka azibebe unayempenda ushasikia wapi ikafanya kazi hii? Upendo ni gharama weka hilo kichwani mwako
Gharama kwa hilo naomba unieleweshe
 
Ataniaibisha December huyo!

Mnarudi wote home kusherekea mabraza wana wake zao wazuri mi npo na garasa langu😁😁Meku kua na huruma
Aisee hii kali umenitusi kama wewe malaika mie sina shida kihivyooo hadi uniseme vibaya hivyoo kwanza wewe mwenyewe huna hadhi na mimi umelegea kila mahali huna nguvu za kiume hela huna,hujielewi unataka nini akili ya maisha huna.
Kazi masifa ya sio na mpangoo garasa ni dada zako weka hili akilini sitaki kuolewa na watu weusi hasa watanzania hamnaga akili kazi yenu nikujishaua tu ukiangalia wazungu wanachukua magarasa wanapita hivi nyie mnachukua hao matahira yenu hayana akili yanajua matako ni dili . Na kuwachanganya tu kazi yenu. Mnakuja na presha.

Kwanza huwezi kunifungulia biashara yeyote nitakayo,huna hizo hela kuingiza ml 100 kwa wiki huwezi nani ajilipue kwako sasa,vigari mnavyovitembelea vya shida vidogo jana vitoi vya mbwa mmejazana ukoo mzima. Kenya wasingekuwa wanataka nazao yetu mngebakia na mikopo tu....

Hamna mtu humu ambaye anahela ,wala uzuri wengi mboo zao zimelegea,zimepauka ukiwaambia nipigie picha wengine wana vidole warefu kama miti mnatisha kiufupi.
 
How comes mwanamke asipate mwanaume wa kuishi naye. Hivi unashindwa kuanziasha urafiki na boy yoyote then msomane kwa kipindi Fulani then mkazama into serious relationship? Nimejifunza kitu kizuri kinaanza kwa kukitengeneza wewe mwenyewe achana na wanaume wa watu walio tengenezwa watakupa stress tu. Mwisho ukimpata muheshimu na mlinde kama ruba, mapungufu yake yabebe huku ukiendelea kumtengeneza. Pia mshirikishe Mungu kila hatua..... Kila la heri
Unaushauri mzuri true nitatafuta nitakupa mrejesho ila sio kazi rahisi hawapo serious
 
Back
Top Bottom