Nishaurini nimpende nani???
Maana mie sina wakumpenda .kiukweli sijui wakumpenda maana nikimpata mtu ukawa serious naye huyo sijui anakuwa haeleweki.
Situngi ,walA situngiwi nasiact really. Miaka nenda miaka rudi sijui naelekea wapi maana ukiwa serious yeye hayupo serious akiwa serious nawewe haupo serious kwa sababu umeshampata mwingine ambaye hayupo serious.
Kingine unakuwa single maana hujielewi ?? Na hueleweki.
Mtu mchumba wako anamnunulia mke wa mtu mahitaji yote na anakuambia mie sina hela kweli. Ila kisa haupo karibu ya huyo mtu anamilikiwa nawake za watu. Dah siunajiweka kati .
Humu kwa wanaume ni ndoto, kabisaaaa ndoto za mchana humu hakuna mwanaume yule ambaye yupo serious kuoa. Wengi wameoa. Wewe ukija na bando lako ni sawa una poteza muda kwanza haji wa ndoto zako wanatokea wandoto za wengineDah huku inahitaji moyo .
Saivi ni bora uhamie Uganda au pengine ubadilishe hali ya hewa.