Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

mbona hata kupangilia maneno ya kuandika huwezi?
Sasa si utaenda kuwa mzigo kwa atakae kuoa
 
Ulishampata shugadady, kama ulimpata basi mgande na umpende haswaa...😁
 
Wanawake wa sasa mna entertain sana michezo ya ngono mnadhani mna muda wa kupoteza. Subiri ufike 30 kwenda juu ndio utaanza jikuta unakuwa serious, akija mwanaume hautamletea mizaha wala chenga utakuwa direct.
 
Back
Top Bottom