NIMR mko wapi?

NIMR mko wapi?

Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!

You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.

Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!

NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Ni aibu ya nchi. Rais bogus, wasomi nao bogus wanatumia approach za karne zilizopita kupambana na maradhi. Hawa ndiyo walitakiwa wajikite kwenye utafiti ili kujua ugonjwa wa corona umeathirije watanzania na kwanini. Kama vifo vilivyotokea watafiti ni kwanini vimetokea na vimetokea kwa watu wenye profile gani ya maisha, ni nini hasa kimesababisha wafe nk, na wale waliopona ni kwa nini walipona, walikuwa na nini cha ziada nk. Kwa ujumla walitakiwa wakusanye data muhimu ili angalau kuja na mapendekezo. Ila kwa upande mwingine tusiwalaumu sana kwani wakiamua kufanya kazi kitaalam si ajabu watafukuzwa na kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Huyu rais wa sasa kichwani zimepungua. Ona alivyoivuruga wizara ya afya kwa kuondoa wale wataalam wote na kuwabakiwa na kilaza mwenzake huyo mwanamke.
 
Exactly, ilibidi wajikite kuangalia disease profile ikoje Tz and suggest the reason behind! Huyu Jiwe ni failure in all aspects of his undertakings
 
Siku zote tunatupia sana lawama vitendea kazi, lakini tukumbuke pia vitendea kazi ni zao la elimu. Anyway, binafsi naona tatizo ni mfumo wa maisha tuliochagua. NIMR ina watu wa kutoka nchi gani hadi wao wawe na mawazo na mitazamo tofauti na sisi Watz wengine!? Wahadhiri wa vyuo vikuo, baadhi ya mawaziri, wabunge, nk wamesoma, tena wapo waliosoma katika vyuo na nchi tunazoziamini kabisa; lakini ni nani hajaufyata na kucheza na mdundo wa ngoma inayopigwa na mtu mmoja tu kwa sasa!? Ni kweli Watz wote tunaamini mtu mmoja tu ndiye mwenye maono ya kila kitu? Mihimili yote ya nchi kaishika na kuagiza ifanye atakavyo, mwisho wa yote hata taasisi kama hiyo NIMR amabyo ilitakiwa ifanye mambo kwa utaalamu nazo zinakosa hiyo nguvu. Wasomi ambao hawajaajiriwa na serikali, huku mitaani, nao wanaufyata na kuimba wimbo, sembuse NIMR (waajiriwa wa serikali)!! Retired unaweza kuta wewe wala si muajiriwa wa serikali, na una elimu nzuri tu, lakini hujawahi (hata kwenye page yako ya facebook) tu kuweka mawazo tofauti na ya serikali! Hapo tunawezaje kuwasema NIMR! Binafsi naona nchi yote inahitaji mapinduzi makubwa ya kimfumo. Ile siku watz tutapata akili na kusema hatutaki kuongozwa namna hii, tunataka huyu awe na uwezo wa kufanya hivi, na huyu asimuingilie yule kwenye ufanyaji kazi wake, na kwa vile haingiliwi akikosea tutamuwajibisha hivi nk. ndipo tutaweza kuwasema NIMR, vyuo vikuu, watumishi wa umma, askari polisi, nk.
Mimi si mwajiliwa lkn nina ufahamu wa haya mambo kidogo! Labda ni kweli wanaangalia matakwa ya mtu mmoja! Ni maangamizi makubwa
 
Kwenye mahojiano ya media unakuta mtaalamu, hata daktari anakwenda kuzungumzia mila, desturi na practice za asili yetu. Naona ajabu kwamba kizazi kimoja au zaidi tokea huko, kama vile hatujasogea mbele na tunaishia kutazama nyuma. Hata wazee wetu walifanya. Matokeo yake naamini kwa vyovyote vile wazee hao walijua zaidi ya tunavyojua sana, kwa sababu hawakuacha ujuzi huo kwa maandishi, na kwa miaka mingi mifumo yetu rasmi ya kitafiti haijatilia mkazo, na pengine kupuuza ujuzi huo. Sayansi kwa kawaida inaangalia nyuma kujifunza na kusogea mbele, sio kuangalia nyuma tu bila progress, bila kutengeneza ufahamu mpya. Ukiwa daktari ukaishia kusema hata wazee wetu walifanya, unakubali tumepoteza entire generations' worth of progress.
 
Wanakula sikukuu

kIongOzI Wa BaaDae
 
👇YES..!👍👍👍👍👍
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
 
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!

You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.

Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!

NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
We unafikiri research/kudevelop dawa moja budget yake ni pesa ya maandazi eeh,inahitaji huge investment ...serikali yako ime invest bei gani kwenye hizo tafiti au mnabwabwaja tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu ya nchi. Rais bogus, wasomi nao bogus wanatumia approach za karne zilizopita kupambana na maradhi. Hawa ndiyo walitakiwa wajikite kwenye utafiti ili kujua ugonjwa wa corona umeathirije watanzania na kwanini. Kama vifo vilivyotokea watafiti ni kwanini vimetokea na vimetokea kwa watu wenye profile gani ya maisha, ni nini hasa kimesababisha wafe nk, na wale waliopona ni kwa nini walipona, walikuwa na nini cha ziada nk. Kwa ujumla walitakiwa wakusanye data muhimu ili angalau kuja na mapendekezo. Ila kwa upande mwingine tusiwalaumu sana kwani wakiamua kufanya kazi kitaalam si ajabu watafukuzwa na kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Huyu rais wa sasa kichwani zimepungua. Ona alivyoivuruga wizara ya afya kwa kuondoa wale wataalam wote na kuwabakiwa na kilaza mwenzake huyo mwanamke.
Serikali imetoa budget kiasi gani ,kwenye tafiti za afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi kwenda NIMR ukaona lab zao? Lab lazima iwe versatile kufanya research yoyote. Nilitegemea waje na active ingredient ya kila mmea..... get it characterized and then tested in mice or whatever method of testing its action on the virus.... kitu kama hicho, . Siyo kupika mitishamba kama mzee wKikombe.na kuweka sokoni eti ni dawa! National Institute for Medical Research, jina kubwa sana!..
Hapa umewashauri kisayansi!

Baada ya kuwazodoa na kuwakoromea, umeamua sasa kuwapa madini...nafikiri ndio lilikuwa lengo lako ili kuvuta attention yao.

Ni kweli walichofanya hakiendani na taaluma yao pamoja na maabara waliyo nayo, ila kusema ni bora wangekaa kimya kama wenzao wa Kenya na Uganda hilo sikubaliani nalo aslani.
Mwanzo wa safari yoyote ni hatua. Wasingefanya walichofanya usngepata nafasi ya kuwakosoa na kuwapa huu ushauri mzuri.
 
ila kusema ni bora wangekaa kimya kama wenzao wa Kenya na Uganda hilo sikubaliani nalo aslani.
To me, naamini kuna level ukifika au your position in the society kuna mambo hupashwi kuyafanya! Una PhD in epidemiology /molecular biology/biostatistics etc kuna mabo tunategemea kutoka kwako. If you do not meet those expectations, then you are doomed! Ndio NIMR!
 
Unaitendea haki 'nickname' yako..Retired
Unaonesha ni matured na mtu wa elimu bora ya siku hizo.

Mkuu nikuambie tu kuna sababu nyingi kushindwa kufanya inavyotakiwa;
- 'products' za elimu yetu ya sasa ni wale ambao badala ya kusoma na kuelewa wanatafuta material ili kufaulu mitihani, usitegemee wafanye jambo la kitaalam zaidi ya hiyo mitishamba waliyotengeneza.

- Ajira zetu siku hizi haziangalii uwezo wa mlengwa badala yake wanaajiri kwa "connection"

Hiyo ndiyo Tanzania ya leo!
Kama NIMR haindeshwi kisiasa basi kuna wataalam wasiokidhi vigezo vya hiyo taasisi.
 
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!

You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.

Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!

NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Hii na zingine ukuziona? Kabla ujawatupia lawama.Ushaenda kwao kupata hizo taarifa
 
Attachments

  • Screenshot_20200521_075441.jpg
    Screenshot_20200521_075441.jpg
    48.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075428.jpg
    Screenshot_20200521_075428.jpg
    61.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075423.jpg
    Screenshot_20200521_075423.jpg
    40.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075654.jpg
    Screenshot_20200521_075654.jpg
    35.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200521_075418.jpg
    Screenshot_20200521_075418.jpg
    50.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075457.jpg
    Screenshot_20200521_075457.jpg
    39.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200521_075454.jpg
    Screenshot_20200521_075454.jpg
    42.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075445.jpg
    Screenshot_20200521_075445.jpg
    46 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200521_075651.jpg
    Screenshot_20200521_075651.jpg
    33.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075601.jpg
    Screenshot_20200521_075601.jpg
    57.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075557.jpg
    Screenshot_20200521_075557.jpg
    66.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20200521_075552.jpg
    Screenshot_20200521_075552.jpg
    63.4 KB · Views: 1
To me, naamini kuna level ukifika au your position in the society kuna mambo hupashwi kuyafanya! Una PhD in epidemiology /molecular biology/biostatistics etc kuna mabo tunategemea kutoka kwako. If you do not meet those expectations, then you are doomed! Ndio NIMR!
Kuwa na PhD sio kwamba uko bright au unajua vyote au umemaliza.Zile ni elimu tu za darasani.Ujawahiona msomi wa chuo kushindwa mitihani wa shule ya msingi.Wengi tu hapa tukipewa mitihani ya shule ya msingi lzm tufeli.Ndivo ilivo elimu.Elimu inakuwa ni maarifa uliyonayo si nje ya upeo wako
 
Nadhani tatizo lipo deep down kwa wabongo ambao wanajua dawa asili ni mitishamba na haihitaji researches.. kitu ambacho hawajui ni kwamba hata miti shamba inahitaji kujulikana mechanism of action , dosage , side effects ( both short & long term)
 
Back
Top Bottom