Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
muda mzuri wa kujikojolea ni wakati mvua inaponyesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu ya nchi. Rais bogus, wasomi nao bogus wanatumia approach za karne zilizopita kupambana na maradhi. Hawa ndiyo walitakiwa wajikite kwenye utafiti ili kujua ugonjwa wa corona umeathirije watanzania na kwanini. Kama vifo vilivyotokea watafiti ni kwanini vimetokea na vimetokea kwa watu wenye profile gani ya maisha, ni nini hasa kimesababisha wafe nk, na wale waliopona ni kwa nini walipona, walikuwa na nini cha ziada nk. Kwa ujumla walitakiwa wakusanye data muhimu ili angalau kuja na mapendekezo. Ila kwa upande mwingine tusiwalaumu sana kwani wakiamua kufanya kazi kitaalam si ajabu watafukuzwa na kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Huyu rais wa sasa kichwani zimepungua. Ona alivyoivuruga wizara ya afya kwa kuondoa wale wataalam wote na kuwabakiwa na kilaza mwenzake huyo mwanamke.Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Exactly, ilibidi wajikite kuangalia disease profile ikoje Tz and suggest the reason behind! Huyu Jiwe ni failure in all aspects of his undertakingsNi aibu ya nchi. Rais bogus, wasomi nao bogus wanatumia approach za karne zilizopita kupambana na maradhi. Hawa ndiyo walitakiwa wajikite kwenye utafiti ili kujua ugonjwa wa corona umeathirije watanzania na kwanini. Kama vifo vilivyotokea watafiti ni kwanini vimetokea na vimetokea kwa watu wenye profile gani ya maisha, ni nini hasa kimesababisha wafe nk, na wale waliopona ni kwa nini walipona, walikuwa na nini cha ziada nk. Kwa ujumla walitakiwa wakusanye data muhimu ili angalau kuja na mapendekezo. Ila kwa upande mwingine tusiwalaumu sana kwani wakiamua kufanya kazi kitaalam si ajabu watafukuzwa na kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Huyu rais wa sasa kichwani zimepungua. Ona alivyoivuruga wizara ya afya kwa kuondoa wale wataalam wote na kuwabakiwa na kilaza mwenzake huyo mwanamke.
Mimi si mwajiliwa lkn nina ufahamu wa haya mambo kidogo! Labda ni kweli wanaangalia matakwa ya mtu mmoja! Ni maangamizi makubwaSiku zote tunatupia sana lawama vitendea kazi, lakini tukumbuke pia vitendea kazi ni zao la elimu. Anyway, binafsi naona tatizo ni mfumo wa maisha tuliochagua. NIMR ina watu wa kutoka nchi gani hadi wao wawe na mawazo na mitazamo tofauti na sisi Watz wengine!? Wahadhiri wa vyuo vikuo, baadhi ya mawaziri, wabunge, nk wamesoma, tena wapo waliosoma katika vyuo na nchi tunazoziamini kabisa; lakini ni nani hajaufyata na kucheza na mdundo wa ngoma inayopigwa na mtu mmoja tu kwa sasa!? Ni kweli Watz wote tunaamini mtu mmoja tu ndiye mwenye maono ya kila kitu? Mihimili yote ya nchi kaishika na kuagiza ifanye atakavyo, mwisho wa yote hata taasisi kama hiyo NIMR amabyo ilitakiwa ifanye mambo kwa utaalamu nazo zinakosa hiyo nguvu. Wasomi ambao hawajaajiriwa na serikali, huku mitaani, nao wanaufyata na kuimba wimbo, sembuse NIMR (waajiriwa wa serikali)!! Retired unaweza kuta wewe wala si muajiriwa wa serikali, na una elimu nzuri tu, lakini hujawahi (hata kwenye page yako ya facebook) tu kuweka mawazo tofauti na ya serikali! Hapo tunawezaje kuwasema NIMR! Binafsi naona nchi yote inahitaji mapinduzi makubwa ya kimfumo. Ile siku watz tutapata akili na kusema hatutaki kuongozwa namna hii, tunataka huyu awe na uwezo wa kufanya hivi, na huyu asimuingilie yule kwenye ufanyaji kazi wake, na kwa vile haingiliwi akikosea tutamuwajibisha hivi nk. ndipo tutaweza kuwasema NIMR, vyuo vikuu, watumishi wa umma, askari polisi, nk.
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
We unafikiri research/kudevelop dawa moja budget yake ni pesa ya maandazi eeh,inahitaji huge investment ...serikali yako ime invest bei gani kwenye hizo tafiti au mnabwabwaja tu hapaShame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Serikali imetoa budget kiasi gani ,kwenye tafiti za afyaNi aibu ya nchi. Rais bogus, wasomi nao bogus wanatumia approach za karne zilizopita kupambana na maradhi. Hawa ndiyo walitakiwa wajikite kwenye utafiti ili kujua ugonjwa wa corona umeathirije watanzania na kwanini. Kama vifo vilivyotokea watafiti ni kwanini vimetokea na vimetokea kwa watu wenye profile gani ya maisha, ni nini hasa kimesababisha wafe nk, na wale waliopona ni kwa nini walipona, walikuwa na nini cha ziada nk. Kwa ujumla walitakiwa wakusanye data muhimu ili angalau kuja na mapendekezo. Ila kwa upande mwingine tusiwalaumu sana kwani wakiamua kufanya kazi kitaalam si ajabu watafukuzwa na kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi. Huyu rais wa sasa kichwani zimepungua. Ona alivyoivuruga wizara ya afya kwa kuondoa wale wataalam wote na kuwabakiwa na kilaza mwenzake huyo mwanamke.
Bila shaka umemaliza kusoma maelezo yangu. Mwishowe nime-conclude kuwa tatizo liko kwa wanasiasa.
Hapa umewashauri kisayansi!Umewahi kwenda NIMR ukaona lab zao? Lab lazima iwe versatile kufanya research yoyote. Nilitegemea waje na active ingredient ya kila mmea..... get it characterized and then tested in mice or whatever method of testing its action on the virus.... kitu kama hicho, . Siyo kupika mitishamba kama mzee wKikombe.na kuweka sokoni eti ni dawa! National Institute for Medical Research, jina kubwa sana!..
To me, naamini kuna level ukifika au your position in the society kuna mambo hupashwi kuyafanya! Una PhD in epidemiology /molecular biology/biostatistics etc kuna mabo tunategemea kutoka kwako. If you do not meet those expectations, then you are doomed! Ndio NIMR!ila kusema ni bora wangekaa kimya kama wenzao wa Kenya na Uganda hilo sikubaliani nalo aslani.
Unaitendea haki 'nickname' yako..RetiredTo me, naamini kuna level ukifika au your position in the society kuna mambo hupashwi kuyafanya! Una PhD in epidemiology /molecular biology/biostatistics etc kuna mabo tunategemea kutoka kwako. If you do not meet those expectations, then you are doomed! Ndio NIMR!
Hii na zingine ukuziona? Kabla ujawatupia lawama.Ushaenda kwao kupata hizo taarifaShame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Kuwa na PhD sio kwamba uko bright au unajua vyote au umemaliza.Zile ni elimu tu za darasani.Ujawahiona msomi wa chuo kushindwa mitihani wa shule ya msingi.Wengi tu hapa tukipewa mitihani ya shule ya msingi lzm tufeli.Ndivo ilivo elimu.Elimu inakuwa ni maarifa uliyonayo si nje ya upeo wakoTo me, naamini kuna level ukifika au your position in the society kuna mambo hupashwi kuyafanya! Una PhD in epidemiology /molecular biology/biostatistics etc kuna mabo tunategemea kutoka kwako. If you do not meet those expectations, then you are doomed! Ndio NIMR!