Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Sasa nimeelewa kwa nini wenye uwezo hawataki watoto wao wasome hapa.
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBCMzee unashinda kwenye tv kuanzia asubuhi mpk saa sita usiku [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Mnasema madawa mnayo kumbe hata utafiti kujua usalama na ufanisi wake bado! Ni Nchi ya ajabu sana!
AmenAwamu hii;
Doctor wa PHd =Dokta Manyaunyau
Mungu atufungue kwenye hiki kifungo,
Wote tuitikie kwa pamoja Amen!!
Zilithibitishwa wapi?Huyu ni mpuuzi sana anaropoka ropoka ujinga utadhani hakwenda shule! Chanjo zinazotumika nchi za Magharibi hazijathibitisha kukinga Covid-19? Huu utafiti wa hii kauli zwazwa aliufanya lini na wapi?
Amina bwashee!Saasawa Joni
Nikutakie Dominica yenye baraka
Hiyo kinga imethibitishwa wapi?Hawa ni mataahira nini?...
Zilithibitishwa wapi?
Hujasikia Japan wameionya China isithubutu kuwachanja raia wake?Hujasikia huko nchi za Magharibi jinsi namba za maambukizi na vifo zinavyozidi kupungua kwa 80% katika nchi nyingi? Au Bwashee wewe ni TBC tu 24/7?
Hujasikia Japan wameionya China isithubutu kuwachanja raia wake?
Hapo Ufipa mpo tayari kwa chanjo ya China bwashee?
Kwani Watanzania waliopo China hawachanjwi?Hahahahahahaha wewe kweli bado sana Bwashee! Kama huelewi kinachozungumwa au kilichoandikwa uwe unauliza Bwashee! Aliyekudanganya China inawapa chanjo Wajapani ni nani Bwashee? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣