acha kubetua makalio juu kwa jambo usilolijua, kitaalam (sayansi) magonjwa yote yenye tabia za mlipuko kama korona, kipindupindu nk yana nyakati huwa maambukizi na madhara huwa ni makubwa zaidi, so sio nyakati zote madhara huwa juu...kutegemeana na mazingira ya nyakati hizo.
magonjwa hayo ya milipuko hushambulia sana kuanzia miezi ya novemba hadi machi
so msianze kumpamba huyo mshamba wenu kwa sifa asizostahili, automatically kasi ya korona itapungua sana kuanzia sasa...ila muambieni apunguze ujinga ahimize wananchi wasiache kuchukua tahadhari maana dalili zinaonesha tatizo bado litarudi tena kwa kasi hapo baadae, hasa kutokana na njia alizoamua kuchukua ktk kukabiliana nalo.