NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

Ila wewe ni mbuzi
Matusi ya nini? Huwezi kujibu hoja bila matusi? Sijatukana katu katika post yangu, umeamua kunitukana. Basi Mbuzi mama yako, muulize ninavyompanda
 
NIMR watafute dawa hicho walichotengeneza hata majumbani inawezekana watafate njia bora zaidi ya hiyo.
Unajua training ya NIMR scientists? Do they have the knowledge/ expertise to do necessary basic science related to this field of discovery??
 
Haya.
Polisi wamfungulie yule dogo aliyeshauri watu wale pilipili
 
Yaan upige picha ya dawa kitandani kwako afu uwataje NIMR? Na bado huu uzi upo?

Haya ukipata mapato lete jukwaani kwa moderators wajipongeze.

Sent using iphone pro max
 
Safi Sana, at least we are not sitting ducks.
Tunafanya kitu. Hongereni NIMRI.
Hata Kama sio tiba.
 
It sounda like kiungo cha mboga tuu kama ilivyo tomato paste
 
Mbona inawahi kuharibika hivyo?

Inatia wasiwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mie huwa natengeneza pilipili ya kusaga na mix na tangawizi ,vitunguu saumu naichemsha halafu naiweka kwenye friji naitumia kwa mda hata wiki mbili bila kuharibika mpaka inakwisha ila ya NIMR ni funga kazi ina expire FASTA.
 
Habari njema sana.Lakini huyu prof Mgaya ni mtoto wa Mzee Mgaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…