Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Mtanganyika,
Utakuwa unapunguza umri wako wa kuishi kwa hasira zinazosababishwa na hawa wezi wa TZ..take it easy..if you cant change it enjoy it...or better still, learn to live with it
 
Mtanganyika,
Utakuwa unapunguza umri wako wa kuishi kwa hasira zinazosababishwa na hawa wezi wa TZ..take it easy..if you cant change it enjoy it...or better still, learn to live with it

Unajua nchi zilizo endelea kuna hawa jamaa wanajiita conservatives ( watu wenye mlengo wa kulia) hawa jamaa wana point moja muimu, family come first. Hii ndio iliyo sabibisha immigration bill kufail in US,Dubai port KUWA NJOZI, John kerry kukosa uraisi. this people value family.

Sasa jiulize Jr atakuta Tanzania kwenye hali gani? Will you like to see your child being discriminated because of your generation faults? TIME TO TAKE ACTION IS NOW.
 
Unafikiri serikali ya CCM ina mpango wa kuwasaidia wananchi na nchi kwa ujumla?? Wanajifaidisha wenyewe. Kama wangekuwa na nia mikataba isngefanyaika kihuni hivyo.

Pesa zilizotumika kujenga twin tower pekee zinatosha kuanzisha mgodi wa dhahabu. Kama pesa ingekuwa invested huko unafikiri baada ya miaka mitano tungeweza kugenga twin towers ngapi? Anyway, Wajinga ndiyo waliwao
 
Hivi baada ya kuwapiga mkwara, amechukua hatua zozote za kisheria au This Day wamemuomba radhi?
 
In fact leo amewajibu maswali waliyompelekea kuhusu Bank M. Kumbe ndiye aliyesimamia uvunjwaji wa NBC na uuzwaji wake kwa Afrika ya Kusini; hatari kweli kweli mzee huyu.
 
Mwanakijiji,

Soma gazeti la majira hapa. Yote aliyozungumza hapo alikuwa anajibu ya maswali aliyoulizwa na ThisDay.
 
....JAMANI NAOMBA MNIELEKEZE MZEE MKONO AMEIBA WAPI. Sheria ya Uwekezaji katika Madini na maeneo mengine iliwekwa na Bunge.

Tusimlaumu Mkono kwasababu Tanzania inapata royalty 3% ktk mikataba ya Madini. Hicho kiwango kimewekwa na watu/viongozi wengine kabisa.

Hivi mlitaka hayo makampuni ya madini yawakilishwe na nani? Yangewakilishwa na makaburu ndiyo mngefurahi. Mkono halazimiki kuiba, ana ujuzi na elimu yake. Wanaoiba ni hao wanaofumba macho na kulazimisha royalty iendelee kuwa 3%.
 
Joka kuu, hivi nani kasema kuwa mzee kaiba. Yeye mwenyewe kasema kuwa ndiye aliyesimamia uvunjwaji wa NBC kuwa benki mbili na uuzaji wa NBC kwa South Africa.

Ninasema yeye ni hatari kwa vile miezi michache iliyopita alisikika akisema bungeni kuwa serikali iwe makini kusoma mikataba kwa vile huwa ina mitego mingi, halafu leo amekiri kuwa yeye amewahi kutayarisha baadhi ya mikataba hiyo hiyo anayotolea tahadhari.

Zito zaidi ni kuwa alitayarisha mikataba ile akiwa na kofia nyingine ya kuwa mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano, huwezi kuona hatari yenyewe?
 
....JAMANI NAOMBA MNIELEKEZE MZEE MKONO AMEIBA WAPI. Sheria ya Uwekezaji katika Madini na maeneo mengine iliwekwa na Bunge.

Tusimlaumu Mkono kwasababu Tanzania inapata royalty 3% ktk mikataba ya Madini. Hicho kiwango kimewekwa na watu/viongozi wengine kabisa.

Hivi mlitaka hayo makampuni ya madini yawakilishwe na nani? Yangewakilishwa na makaburu ndiyo mngefurahi. Mkono halazimiki kuiba, ana ujuzi na elimu yake. Wanaoiba ni hao wanaofumba macho na kulazimisha royalty iendelee kuwa 3%.

Jamaa wewe ukipenda hata chongo unaita kengeza. Kama ndivyo hivyo hebu tuambie basi ni nani ameiba Tanzania. Mwalimu Kichuguu kakujibu vizuri sana hapo juu.

Mkataba anayojivunia kusaini ni uozo mtupu, kila mtu hata Mkono yeye mwenyewe anajua mapungufu yake. Kama kweli ni mwanasheria aliyebobea kama unavyotaka tuamini hakuyaona mapungufu ambayo hata BM mwenyewe alikiri?

Si ajabu hata City water kupata ule mkataba kuna mkono wa Mkono ndani yake halafu anakuja analipwa tena mabilioni ili kuitetea serikali! Baada ya hapo anawatupia makombo Musoma vijijini halafu anaonekana mzalendo. Ni mwizi tu kama wezi wengineo period.
 
In fact leo amewajibu maswali waliyompelekea kuhusu Bank M. Kumbe ndiye aliyesimamia uvunjwaji wa NBC na uuzwaji wake kwa Afrika ya Kusini; hatari kweli kweli mzee huyu.

Pole sana Kichuguu ulikuwa hujui kwamba huyu ndiye alikuwa anasimamia mikataba yote ya wizi wa hali ya juu kupitia kampuni yake? Ati mwanasheria aliyebobea - kabobea kuhalalisha wizi.
 
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda
 
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda

Wameshinda sio kwa sababu ya mawakili - rejea maandamano yaliyofanyika London kushiniiza Bywater kufuta kesi kwa nchi masikini kama Tanzania.
 
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda

USHINDI MKUBWA SIO HUO ULIOPATIKANA MAHAKAMANI BALI IWAPO INGETOKEA LOWASSA KUBAINISHA BAYANA SUALA ZIMA LA CITY WATER.KUNA MASWALI KADHAA YALIYOPASWA KUULIZWA KUHUSU MKATABA ULIOIPA CITY WATER MAJUKUMU WALOPASWA KUTEKELEZA.
 
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda

Hapa kuna ufichaji wa ukweli fulani. Katika kesi ile, kulikuwa na kundi la wanasheria kutoka Canada na Sweden waliojitolea kuitetea serikali ya Tanzania bure.

Wanasheria hao walitolewa na taasisi za International Institute for Sustainable Development (IISD) ya Canada na The Center for International Environmental Law (CIEL) cha Uswisi wakishirikiana na LEAT, LHRC, na TGNP za Tanzania. Soma tangazo hili hapa na thread hii hapa. Kwa hiyo sijaelewa kazi ya Mzee Mkono katika kesi ile ilikuwa ni nini hadi alipwe dola 500 kwa saa !!!.
 
Na hii kesi ya City Water sio tumeshinda in totality, maana kuna kesi na Bi-water, so ushndi wa kesi ya kwanza unaweza ukawa kwenye techinical grounds, za mwenye haki ya kushtaki/kushtakiwa kati ya hizo kampuni mbili city na bi-water, so shughuli kwa tanzania bado nzito.
 
Mtanganyika,
Mzee Mkono hapangi bei ya kuuzwa hayo mashirika. wanaopanga bei ni wataalamu wa Uchumi na Fedha wa serikali, wala siyo wanasheria wa serikali, au binafsi.

Kazi ya MWANASHERIA ni kuandika mkataba binding kwa MNUNUZI na MUUZAJI ili kusitokee kugeukana kwa namna yeyote ile baada ya MAPATANO ya BEI.

MIKATABA MINGI TULIYOINGIA NI MIBAYA KIUCHUMI SIYO KISHERIA. If we had gotten our "numbers" right then IPTL,Barick,City Water... wangeuvaa mkenge badala ya serikali na wananchi.
 
Mkono as mbunge amefanya nini kuhusu mikataba mibovu serikali yetu iliyoingia?
 
Ninajaribu kuangalia mzazi mwenye watoto wengi ambao wana biashara zao tofauti tofauti; mtoto mmoja ni mwanasheria. Je akija mtu kumtapeli mzee huyu kiuchumi kwa kumtaka aweke sahihi kwenye mkataba ambao kijuu juu ni mzuri lakini kwenye fine print una machungu makubwa sana kwa mzee, je itakuwa ni halali kwa huyu kijana mwanasheria kumsaidia tapeli huyo kuandika mkataba huo wa kumkomoa baba yake?

Kama mkono hakuona ubaya wowote kwenye mikataba ile kisheria ilikuwaje baadaye anaibeza serikali kwama iwe inasoma mikataba kwa makini kabla ya kuisaini? Tukubali kuwa pamoja na mengine mazuri anayofanya jimboni kwake, mzee huyu amechangia kwa kiasi kikubwa kuiweka nchi yetu kwenye mikataba mibaya ingawa hakuwa peke yake; hawezi kuondoa mkono wake kwenye lawama zile.
 
KICHUGUU,
Kwa maisha ya bongo ilo ni jambo liliowazi kabisa,wengine wanauwa kabisa ili atimize matakwa yake
 
Back
Top Bottom