Mwendapole Old
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 249
- 52
Mtanganyika,
Utakuwa unapunguza umri wako wa kuishi kwa hasira zinazosababishwa na hawa wezi wa TZ..take it easy..if you cant change it enjoy it...or better still, learn to live with it
....JAMANI NAOMBA MNIELEKEZE MZEE MKONO AMEIBA WAPI. Sheria ya Uwekezaji katika Madini na maeneo mengine iliwekwa na Bunge.
Tusimlaumu Mkono kwasababu Tanzania inapata royalty 3% ktk mikataba ya Madini. Hicho kiwango kimewekwa na watu/viongozi wengine kabisa.
Hivi mlitaka hayo makampuni ya madini yawakilishwe na nani? Yangewakilishwa na makaburu ndiyo mngefurahi. Mkono halazimiki kuiba, ana ujuzi na elimu yake. Wanaoiba ni hao wanaofumba macho na kulazimisha royalty iendelee kuwa 3%.
In fact leo amewajibu maswali waliyompelekea kuhusu Bank M. Kumbe ndiye aliyesimamia uvunjwaji wa NBC na uuzwaji wake kwa Afrika ya Kusini; hatari kweli kweli mzee huyu.
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda
Lakini pia katetea shauri la City Water vs DAWASA; na DAWASA imeshinda
Mtanganyika,
Mzee Mkono hapangi bei ya kuuzwa hayo mashirika. wanaopanga bei ni wataalamu wa Uchumi na Fedha wa serikali, wala siyo wanasheria wa serikali, au binafsi.
Kazi ya MWANASHERIA ni kuandika mkataba binding kwa MNUNUZI na MUUZAJI ili kusitokee kugeukana kwa namna yeyote ile baada ya MAPATANO ya BEI.
MIKATABA MINGI TULIYOINGIA NI MIBAYA KIUCHUMI SIYO KISHERIA. If we had gotten our "numbers" right then IPTL,Barick,City Water... wangeuvaa mkenge badala ya serikali na wananchi.