Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

Mkuu GT,
Kwa taratibu za malipo, ukizidishiwa unatakiwa kurudisha au kuuliza ziada ya malipo inatoka wapi. Hii inaoneka kuwa ni deal ambayo imeenda kombo, manake BOT hawawezi kumzidishia kiasi kingi hivyo (TShs. 5Bil) bila wao au Nkono kugundua. Moreover, Mkono ili alipwe anatakiwa kuwa-invoice BoT. Kwa hiyo either, Mkono atakuwa amewaibia BoT kwa ku-over-invoice, au ni kamchezo kati yao ambako walifikiri as long as Bilali yupo, kasingejulikana.

KJ, right to the point Mkuu!!!!

Hapa inawezekana kuwa Mkonokosa lake ni kuwa "pver bill" lakini hapa ilitakiwa lionekane wakati wa kufanya "approval ya payments" ambapo Client BOT alitakiwa kugundua hilo.... Hata mimi nikiwa nanunua kitu kwa Machinga lazima nifanye my own cost analysis prior to paying him. Na hii ni some few thousands shilings; je itakuwa kwenye Contract ya 5Bilion Madafu?? Lets be serious wakulu.

KJ ameliona hili loud and clear na ameonyesha uwezekano wa kuwepo "kamchezo" baina ya Client (BOT) na Consultant/Lawyer (Mkono & Co)
So bottom line is hii sio kiini maho wala sio overbilling by Mkono bali inawezekana haka "KAMCHEZO" kalichezwa na juu ya yote kumwambia Mkono arudishe ni sawa na kutaka mabilioni yote ya EPA yarudishwe na wakopaji (oops wachukuaji),madhali ukweli ni kwamba kwenye "KAMCHEZO" kokote kuna WACHEZAJI na katika hili hata BOT nao lazima walicheza

Mungu Ibariki Tanzania na Watu wake!!!!
 
Vipi kuhusu zile hela zetu zile za miaka ilee pale ambapo jengo letu lileee "lilipoungua?"
 
Kwanza kabisa ni lazima tujue ya kuwa haya malipo yalifanyika kipindi cha 2006/2007 kwa hiyo ni almost miaka miwili sasa . Ninachojiuliza BOT wanafanyiwa ukaguzi " Auditing" mara ngapi kwa mwaka ? Kwa nini wakaguzi hawakuliona hili , Jamani tunazungumzia bilioni 5 ni hela nyingi sana ambapo auditort yeyote makini angeliona hilo mara moja.

Pili kwa upande wa Mkono kwa nini akusema ya kuwa amekuwa overpaid ? Jee kama Mkono angelipwa kiasi ambacho ni pungufu ya kile walichokubalina angekaa kimya ? .Unajua kuna kipindi JK alipoenda Musoma huyu jamaa alicontribute 500 million shilings kwa CCM musoma nilikuwa nikijiuliza sana naona sasa majibu yangu yamejibiwa !
 
Mkono atakuambia kuwa ametumia hizo pesa (mabilioni) kujenga shule huko Musoma za mamilioni so hakuna swali tena ingawa hizo shule anaziita za kwake na sio za serikali.

Ningeshauri shule za Mkono ziitwe BoT or sumt'n like that!
 
Ndiyo maana mimi ninaamini kuwa kuna conspiracy kubwa kati ya BOT na Mkono company ambao wameitumia hiyo kesi ya Valambhia kama kivuli. lakini nadhani hata CAG na yeye inabidi atueleze mbona haya masuala yalikuwa hayaonekani kwenye ripoti zake za miaka iliyopita? Au wizi huo wameuanza mwaka jana?

Ni kweli kabisa, je CAG alikuwa haoni malipo makubwa kwa Mkono wakati akikagua hesabu za BoT? Kama alikuwa anayaona kwanini hakufuatilia ili ajue kulikoni? Na hata hayo waliyosema yalistahili kuwa malipo ya halali kwa kazi aliyoifanya? Alikuwa anacharge kiasi gani kwa saa? Na masaa mangapi aliyokuwa anashughulikia kesi hiyo ya Valambhia?

Je, siri kali na BoT zina utaratibu gani ili kuhakikisha malipo ambayo Mkono hakustahili kulipwa yanarudishwa mara moja BoT ikiwemo riba kwa muda wote aliokaa na hayo mabilioni? Mpaka kieleweke, tunataka majibu haraka sana.

Alutta Continua.
 
eeehhhh kumbe zile pesa alizokuwa anaohongea madada zetu zilikuwa za epa..maskini anangoma sijui jamaa kamwashia?
 
sidhani kama ni sawa Mkono kurudisha hizo pesa kama kosa ni la BOT

lakini on the other hand kama Mkono anataka kuendelea kuwa na politiocal career ambayo haitochafuliwa na wapinzani anaweza kuirudha hiyo pesa au anaweza kuidonate kwenye moja kati ya charity zake nyingi

the bottom line zile ni pesa za walipa kodi walala hoi

Political carrier kwa Tanzania ni njia ya kutengeneza pesa haraka haraka, ndio maana utaona wanaopigania ubunge hususan, wanatumia fedha nyingi kuupata (iwe za kuhonga au takrima). Kwa hiyo, kwa Mkono na utajiri wote aliokwisha jilimbikizia sidhani kama anahamu tena na siasa, kwani imesha mtajirisha.

Kabla ya siasa he was not even known let alone him being a billionaire now. Ama kweli aliyeipa hii nchi jina la "bongo" hajakosea.
 
sasa Utouh kaanza kazi kama nilivyojua atafanya maana anajua anafanya nini,the guy ni very smart & proffesional na anajua kazi yake vizuri sana,i know utouh vizuri sana ni mtu mwenye intergrity ya juu sana katika kazi,alikuwa senior Lecture kwa zaidi ya miaka 10 then akaenda kuongoza NBAA kwa mafanikio ya hali ya juu sana ndio maana ukipata CPA utakuwa rewarded na heshima utapata,wakimpa nafasi bila kumwingilia afanye kazi yake tutasave pesa nyingi sana za kuunda tume na kuwalipa Ernest & young,na atasafisha accounts za serikali vizuri sana...wampe resources tuu na wasimwingilie utaona mambo yatakavyo badilika!
 
Koba, huyu jamaa si ndio alikaa na ripoti ya EPA kama wiki 7 baada ya kukabidhiwa na Ernst & Young akidai anaifanyia mchakato?at the same time wananchi and donor countries were very anxious waiting for the same report? In my opinion that is not professionalism!

Anaona kibao kinageuka ndio anajibaraguza! Alikuwa wapi siku zote hizi kuanika uozo huo wa malipo kwa Mkono? Mpaka yameandikwa magazetini ndio na yeye anaibuka! Si alisoma ripoti ya Ernst & Young na hili la mkono lilikuwemo kwenye ile ripoti. Mbona hakusema lolote muda wote huo tangu alipokabidhiwa ripoti hiyo hadi hii leo? Ni msanii mwingine huyu!
 
Heshima kwako mkuu, lakini hivi haya mabilioni ya ufisadi hayaweza ku-compromise integrity na professionalism yake?
 
Koba, huyu jamaa si ndio alikaa na ripoti ya EPA kama wiki 7 baada ya kukabidhiwa na Ernst & Young akidai anaifanyia mchakato?at the same time wananchi and donor countries were very anxious waiting for the same report? In my opinion that is not professionalism!

Anaona kibao kinageuka ndio anajibaraguza! Alikuwa wapi siku zote hizi kuanika uozo huo wa malipo kwa Mkono? Mpaka yameandikwa magazetini ndio na yeye anaibuka! Si alisoma ripoti ya Ernst & Young na hili la mkono lilikuwemo kwenye ile ripoti. Mbona hakusema lolote muda wote huo tangu alipokabidhiwa ripoti hiyo hadi hii leo? Ni msanii mwingine huyu!

Mkuu Bubu,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa Utouh inawezekana amekuwa 'smoked' ndio akatoa hii ripoti. Sidhani kama hili suala amelitambua hivi karibuni tu.

Ila yote tisa, kasheshe analo Mkono maana hizi pesa ni nyingi sana, inawezekana pia alitumiwa kupitishia kwake kama malipo yake halafu watu wakagawana zile za ziada. Lakini sasa kama ni kuzilipa, ni Mkono peke yake atakayeshikwa koo. Na sio ajabu pesa yenyewe kashaitumia kujitafutia umaarufu kwa kujenga shule n.k., kumbe pesa yenyewe ilikuwa ni ya wizi.
 
JK alipomteua nilijua ni mtu mahiri sana anayejali proffessional lakini nikawa na wasiwasi mfumo mzima umeoza mtu mmoja ataweza kweli kurekebisha hali mbaya iliyopo serikalaini especially serikali za mitaa, wanaajiri internal auditors kila halimashauri lakini hawa watu kule ofisini ni sawa na bure kwani report zao hazifanyiwi kazi zaidi ya kuzitupa kwenye makabati.
Utouh anasema kuna improvement katika serikali za mitaa, watu siku hizi wanaandika voucher maana siku za nyuma hata voucher walikuwa hawaadiki hacha documents za kuforge perhaps he will make it
 
Hivi huu mtaji wa Bank M ndio ulikotokea kwenye haya malipo aliyozidishiwa Mh. Mkono? Inabidi akitulipa alipe na faida sasa. Hebu kumbushia kwenye hiyo habari hapo chini.

Bank M now opens doors to customers

2007-09-06 10:05:19
By Felix Andrew

Bank M Tanzania Limited, the latest entrant in the banking sector in the country, has opened its doors to customers.
Promoted by two financial service professionals and major industrial houses in the country under the chairmanship of Nimrod Mkono, a prominent lawyer and Member of Parliament, the new bank focuses on corporate banking targeting the upper end of the mid market and corporate enterprises both in the manufacturing and trading arenas.

The bank, with a paid-up capital of 6.5bn/-, which is 30 percent above the statutory requirement, is introducing innovative products and services which were hitherto unknown to this market. It has come up with new innovative solutions to the growing demands of the new economic order.

Noteworthy among them are the bank�s round-the-clock strategy whereby all branches would be open from 8am to 8pm everyday, including weekends, making it the first bank in eastern Africa to operate extended business days and hours.

The strategy also involves `Money Safe` a night safe depository facility; `Money Mail,` a service which facilitates non-cash transactions without visiting the bank, and �Money Man,� a unique cash delivery and pick-up service.

Bank M has opened its first branch along Nyerere Road in Dar es Salaam, aptly named Industrial Finance Branch, which is already operational. It would also open more branches in the central business district of the city, followed by Arusha and Mwanza in the near future. SOURCE: Guardian
 
Mkono defends Sh7.9bn pay from BoT
By Mkinga Mkinga

Mr Mkono, who is also the Musoma Rural MP, made the remarks in a telephone interview from the US.

�The CAG claims have been repeated for two years now but the fact is that there are people who want to use his office to undermine me politically,� he said.

He was responding to the 2006/7 CAG report which shows that his law firm, Mkono & Co Advocates, was overpaid by the Bank of Tanzania during the 2006/7 financial year.

�When the CAG is saying that I was overpaid, where does he base his findings because all payments were done according to the agreement entered between the two parties,� Mr Mkono told The Citizen.

He his firm was international recognised, adding that this could be the reason why the figures �don�t add up for the CAG�.

�I charge $500 (Sh600,000) an hour�I won the tender for BoT legal provision services, and I am surprised to see that today that the CAG is questioning my payments,� he said.

Mr Mkono added: �I don�t understand it when somebody says Mkono and Company advocates was overpaid by BoT, while all payments were done according to the agreed contract.�

"BoT was required to pay $500 an hour for three lawyers working in Dar es Salaam and $1,000 (Sh1.2 million) per hour for four lawyers working in Ireland and Czechoslovakia. On average they all work 8 hours a day and that is how the Sh5 billion was reached,� he clarified.

He said while the CAG claimed that his firm was overpaid, BoT had contracted another law firm at the cost of $700 (Sh840,000) an hour for senior lawyers and $500 for junior ones.

�I am aware that there are people who are trying to use the CAG�s office to implicate me in financial scandals, but they will never win this battle.�

According to the CAG�s report, BoT made excessive payments in legal fees to the tune of Sh5 billion to Mkono and Co Advocates as part of the charges for the firm�s handling of the Valambhia case.

Mr Ludovick Utouh said when unveiling the report in Dodoma last week that the amount paid to the Dar es Salaam-based law firm last financial year was twice what the company was paid previous year.

The amount is just the cost of defending BoT in a single civil case after BoT was ordered to pay businessman Devram Valambhia Sh60 billion.

In 2005/6, BoT paid a total of Sh2.9 billion to Mkono and Co Advocates as the cost of defending the central bank in the case that has dragged on for a decade now.

CAG says that under normal circumstances, the amount has already exceeded 10 per cent of the sum being disputed by BoT. This is according to advocate remuneration procedures.

Mr Utouh said when reached for comment: �We reached the conclusion after doing a comparison of what he (Mr Mkono) was paid compared to the value of the suit which is Sh60 billion.�

�These figures just don�t make sense as payments have gone beyond ten per cent of the actual value of the suit.� The CAG added

Asked to comment on allegations that his office was being used to tarnish the image of Mr Mkono, Mr Utouh replied, �We haven�t stated anywhere that he is corrupt�we have just presented the facts as we got them.�
 
Taratibu mambo yanajiweka wazi...Mkono has documents to prove his situation..CAG ka present as he got em? from where?
 
Taratibu mambo yanajiweka wazi...Mkono has documents to prove his situation..CAG ka present as he got em? from where?

Mkuu Kapinga,
Sio uongo, yanajifungua maana yanaingiliana. Lakini nafikiri Mkono anataka kutumia ufahamu wake wa EPA, Meremeta n.k., kukwepa hili lake la U$5.0 million, maana sidhani kama anazo hivi sasa, unless auze vingi alivyojikusanyia. Kwani ina maana hizo doc kazipata leo leo tu baada ya Bilal kuondoka BoT??
 
Mkono defends Sh7.9bn pay from BoT
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

Mr Mkono, who is also the Musoma Rural MP, made the remarks in a telephone interview from the US.

The CAG claims have been repeated for two years now but the fact is that there are people who want to use his office to undermine me politically, he said.

He was responding to the 2006/7 CAG report which shows that his law firm, Mkono & Co Advocates, was overpaid by the Bank of Tanzania during the 2006/7 financial year.

When the CAG is saying that I was overpaid, where does he base his findings because all payments were done according to the agreement entered between the two parties, Mr Mkono told The Citizen.

He his firm was international recognised, adding that this could be the reason why the figures don't add up for the CAG.

I charge $500 (Sh600,000) an hour I won the tender for BoT legal provision services, and I am surprised to see that today that the CAG is questioning my payments, he said.

Mr Mkono added: I don't understand it when somebody says Mkono and Company advocates was overpaid by BoT, while all payments were done according to the agreed contract.

"BoT was required to pay $500 an hour for three lawyers working in Dar es Salaam and $1,000 (Sh1.2 million) per hour for four lawyers working in Ireland and Czechoslovakia. On average they all work 8 hours a day and that is how the Sh5 billion was reached, he clarified.

He said while the CAG claimed that his firm was overpaid, BoT had contracted another law firm at the cost of $700 (Sh840,000) an hour for senior lawyers and $500 for junior ones.

I am aware that there are people who are trying to use the CAG's office to implicate me in financial scandals, but they will never win this battle.

According to the CAG's report, BoT made excessive payments in legal fees to the tune of Sh5 billion to Mkono and Co Advocates as part of the charges for the firm's handling of the Valambhia case.

Mr Ludovick Utouh said when unveiling the report in Dodoma last week that the amount paid to the Dar es Salaam-based law firm last financial year was twice what the company was paid previous year.

The amount is just the cost of defending BoT in a single civil case after BoT was ordered to pay businessman Devram Valambhia Sh60 billion.

In 2005/6, BoT paid a total of Sh2.9 billion to Mkono and Co Advocates as the cost of defending the central bank in the case that has dragged on for a decade now.

CAG says that under normal circumstances, the amount has already exceeded 10 per cent of the sum being disputed by BoT. This is according to advocate remuneration procedures.

Mr Utouh said when reached for comment: We reached the conclusion after doing a comparison of what he (Mr Mkono) was paid compared to the value of the suit which is Sh60 billion.

These figures just don't make sense as payments have gone beyond ten per cent of the actual value of the suit. The CAG added

Asked to comment on allegations that his office was being used to tarnish the image of Mr Mkono, Mr Utouh replied, We have n't stated anywhere that he is corrupt we have just presented the facts as we got them.
 
I am not surprised if agenda21 wanamuandama huyu to divert attention...sadly he was contracted for that sum, i may give Mkono the some benefit of the doubt...
 
Ninashangaa saana na utetezi alioutoa Mheshimiwa Mkono kuhusu Mkataba, Richmond ina mkataba, ununuzi wa Radar Uingereza una mkataba na yote imeonekana ina matatizo na inahitaji kuchunguza wake utakua umetoka wapi, anaona aibu ujanja wake umejulikana. Anajifananisha na wanasheria waliopo nchi za ulaya wakati anajua sisi tuna viwango vya ulipaji kisheria, Tanzania ni nchi changa Mheshimiwa Mkono kama unataka kulipwa Dolar 600 kwa saa fungua ofisi yako Uingereza au America kama utapata hata kesi moja kusimamia wewe umesajilia Tanzania unalipwa kama mtanzania anavyolipwa, labda ufanye ujanja kama uliofanya.Huo ni wizi.
 
Back
Top Bottom